Download Yupo Mp3 by David Wonder
The renowned and Celebrated gospel singer David Wonder whose songs has always motivated and blessed lives comes through with another powerful song titled “Yupo“
Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.
DOWNLOAD MORE DAVID WONDER SONGS HERE
Lyrics: Yupo by David Wonder
Like so Like so
As for me I just want to see you again
I get so sick and tired of this pain
My heart is filled with regrets and complain
Oh Lord allow me to see you again
Ah! Ni siku nyingi hujaonekana
Mpaka nashindwa nini nilifanya
Oh! Lord want to see you again
Yeh! Yeh!
Inafika asubuhi na mi naona giza
Na najua adui ataka kuniumiza
Haipiti madakika kama hawajaniuliza
(Haipiti madakika kama hawajaniuliza¬¬)
Wanaulizaa…
Mungu wako yu wapiii? eeeh!
Mungu wako yu wapi?
Nantajibu Yupo! Yupo! Yupo!
Mintajibu Yupo! Yupo! Yupoooh!
Like so, Like So
Show yourself in Fire! Fire! Fire!
Hawajui namtumikia nani… Eeh!
Fire! Fire! Fire! Wangejua wangenifuata mimi Eeh!
Fire! Fire! Fire! Mungu wa Elija shukisha motoo…
Fire! Fire! Fire! Fanya miujiza kwa wana wakoo…
As for me I just want to see you again,
I get so sick and tired of this pain,
Yeh! Yeh!
Inafika asubuhi na mi naona giza
Na najua adui ataka kuniumiza
Haipiti madakika kama hawajaniuliza
(Haipiti madakika kama hawajaniuliza¬¬)
Wanaulizaa…
Mungu wako yu wapiii? eeeh!
Mungu wako yu wapi?
Nantajibu Yupo! Yupo! Yupo!
Mintajibu Yupo! Yupo! Yupooo!
As for me I just want to see you again
I get so sick and tired of this pain Yeh! Yeh!
Inafika asubuhi na mi naona giza
Na najua adui ataka kuniumiza
Haipiti madakika kama hawajaniuliza
(Haipiti madakika kama hawajaniuliza¬¬)
Wanaulizaa…
Mungu wako yu wapiii? eeeh!
Mungu wako yu wapi?
Nantajibu Yupo! Yupo! Yupo!
Mintajibu Yupo! Yupo! Yupooo!
Like so, Like So