Download Safari Bado Mp3 by Bony Mwaitege Ft. Bahati Bukuku
A soul-lifting song from the African Christian/Gospel worshipper, minister, and song writer “Bony Mwaitege“, as He calls this song “Safari Bado” featuring Bahati Bukuku. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed
DOWNLOAD MORE BONY MWAITEGE SONGS HERE
Lyrics: Safari Bado by Bony Mwaitege
Mfalme Belshazzar maandiko yanamsimulia
Alilewa madaraka akamkosea Mungu
Alipopata ufalme alichanganyikiwa
Mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu.
Mfalme Belshazzar
Alishangaa kuona mkono unaandika ukutani
Na anayeandika alikuwa haonekani
Maneno yaliyo jitokeza ukutani yalikuwa haya
Mene Mene Tekeli na Peresin
Maana yake ufalme wako umepimwa kwa mizani
Nao umeonekana umepungua
Ufalme wako wamegawanywa wabedi na wajemi
Belshazzar Belshazzar
Belshazzar alidhani amefika akaanza kudharau watu kumbe safari bado
Mfalme Belshazzar alidhani amefika akaanza kumdharau Mungu kumbe safari bado… Inaendelea
Safari bado, safari bado safari bado, inaendelea
Woho Baaa
Bado safari bado (bado)
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado (hei bado)
Baaadoo safari bado (Ndugu yangu)
Usianze kudharau watu ndugu safari bado
Bado safari bado
Endelea kumheshimu Mungu ndungu safari bado …inaeendelea
Safari bado
Ukipigiwa simu haupokei unaiangalia tu
Unadhani umefika kumbe safari bado
Ukipita na gari yako matope unaturushia
Unadhani umefika kumbe safari bado
Umejifungua salama usifute namba za wakunga
Ndugu yangu nakukumbusha kwamba safari bado
Bado safari baaado
Endelea kuheshimu watu ndungu safari bado
Bado safari bado
Usiache kumwabudu Mungu ndugu safari bado inaeendelea
Bado heiye
Bado safari bado
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado
Bado safari bado
Usianze kudharau watu ndugu safari bado
Bado safari
Endelea kumheshimu Mungu ndugu safari bado …Inaendelea
Safari bado
Umesoma sawa lakini kumbuka walio kusomesha
Usiwasahau maana safari bado
Unapesa nyingi sawa lakini kumbuka ulikotoka
Usidharau watu ndungu safari bado
Baadoo safari bado
Endelea kuheshimu watu ndungu safari bado
Baaadoo safari baadoo
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado Inaendelea
Safari bado heiyei
Bado safari bado
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado
Baadoo safari bado
Usianze kudharau watu ndugu safari bado
Bado safari bado
Endelea kumheshimu Mungu ndugu safari bado …inaeendelea
Safari bado