Download Roho Mtakatifu (Prayer Anthem) Mp3 by Imani Eric Shoo Ft. Paul Clement
A soul-lifting song from the African Christian/Gospel worshipper, minister, and song writerย โImani Eric Shooโ, as He calls this song โRoho Mtakatifu (Prayer Anthem)โ featuring Paul Clement. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed
DOWNLOAD MORE IMANI ERIC SHOO SONGS HERE
Lyrics: Roho Mtakatifu (Prayer Anthem) by Imani Eric Shoo
VERSE: Rafiki wa karibu yangu kuliko mavazi yangu, ni wewe Roho Mtakatifu
Mito inayotiririka vilindini mwa moyo wangu, ni wewe Roho Mtakatifu
Upole wa asili yako na makali ya nguvu zako, ni dhahiri sana kwangu
Ukisema unatenda ukiahidi unafanya, Hakuna usiloweza
CHORUS : Nifundishe, kuishi sawasawa na mapenzi yako
Nithibitishe, katika haki na utakatifu wako
Ushawishi, kuishi kwangu na matendo yangu
Nipe hatua moja zaidi ewe mpenzi wangu.
VERSE: Uzuri wako na Uaminifu wa Moyo wako uwepo wako, uwepo wako
Ushindaye giza kwa Nuru ya asili yako, ewe Roho Mtakatifu
Umejawa uhai uweza mamlaka vyote, vimebebwa nawe
#VERSE: Ukiwa ndani yangu mashaka sina tena, ujasiri wote unawewe
Ututofautishae na watu wa duniani, Mwalimu wa Haki yote
Ni shauku yangu kuwa nawe kuliko jana, Nijaze kwa Nguvu zako.