Gospel Global Victoria Alto – Hakuna wa Kufanana Nae

Victoria Alto – Hakuna wa Kufanana Nae

Download Hakuna wa Kufanana Nae Mp3 by

A soul-lifting song performed by the African Christian/Gospel worshipper, minister, and song writerย โ€œโ€œ, as this one is titled โ€œHakuna wa Kufanana Naeโ€. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.

Download Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Hakuna wa Kufanana Nae by

Mungu awezae aponyae

CHORUS WRITTEN BY PAUL CLEMENT
sijawahi ona Mungu anaeweza namna hii
Sijawahi ona

sijawahi ona Mungu anaeweza namna hii
Sijawahi ona

VERSE WRITTEN BY VICTORIA ALTO
Aliangusha Yeriko kagawanya bahari katoa maji jangwani uyo ni Yesu uyo ni Yesu
Akiahidi anatenda akisema anatimiza
Akiahidi anatenda
Uyo ni Yesu kweli sijawahi ona

sijawahi ona Mungu anaeweza namna hii
(Sijawahi ona)

Sijawahi ona Mungu anaeponya namna

(Anaponya magonjwa yote)

Sijawai ona Mungu anaejibu namna hii

(Sasa tupige makofi kwa Bwana)

BRIRDGE WRITTEN BY VICTORIA ALTO
Haufanishwi Bwana
Wewe ndiwe niko ambaye niko
Haufanishwi Bwana
Sijawahi ona mwingine kama wewe
Haufanishwi Bwana
Wala hakuna wakulinganishwa nawe

Hakuna wakufanana nae

Haufanishwi Bwana
Matendo yako ya ajabu
Haufanishwi Bwana
Nimetafuta sijaona kama wewe
Haufanishwi Bwana

Unayetenda makuu sana
Hakuna wa kufanana nae

PART 2 ( NYIMBO ZA INJILI)
Hakuna wakufanana na Yesu
Hakuna wakufanana nae
Nani alinganishwe na Yesu
Hakuna wakufanana nae
Yeye ni Mungu mwenye nguvu na baba wa milele
Hakuna wakufanana nae

Anaweza
Anaweza

Hakuna wakufanana na Yesu
Hakuna wakufanana nae
Nani alinganishwe na Yesu
Hakuna wakufanana nae
Yeye ni yote katika yote Bwana
Hakuna wakufanana nae

Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza Hakuna wakufanana nae

Anajibu
Anajibu
Tukiomba anajibu
Anajibu
Kabla atujaomba anajibu
Anajibu
Anajibu Hakuna wakufanana nae

Anajibu
Anajibu
Tukimuita asikia
Anajibu
Anajibu
Anajibu Hakuna wakufanana nae

Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Jambo gani limshinde
Anaweza
Anaweza Hakuna wakufanana nae

Anatenda
Anatenda
Anatenda
Anatenda
Anatenda
Anatenda Hakuna wakufanana nae

Yesu kristo, Hai
Ni Bwana
Yesu kristo, hai
Mwokozi

Yesu kristo, Hai
Ni ngome
Yesu kristo, Hai
Mkombozi
Hey taa, Ta
Ta, Tata

Yesu kristo
Mwokozi
Yesu kristo,Hai
Anaponya
Yesu kristo, Hai
Aaaah Ni Bwana
Yesu kristo, Hai
Yuko hapa
Hey taa, Ta
Ta, Tata

Anaweza
Anaweza
Mambo yote

Anaweza
Yaliyoshindikana kwa wanadamu
Anaweza
Anaweza yHakuna wakufanana nae

Kama amjawai kuona njooni muone
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Hakuna wakufanana nae

Anajibu
Anajibu
Kabla sijaomba anajibu
Anajibu
Anajibu
Anajibu hakuna wakufanana nae

Anaweza
Anaweza

Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza hakuna wakufanana nae

Wapi shangwe
Wapi shangwe

Comment below with your feedback and thoughts on this post.