Gospel Global John Lisu – Wewe ni Rafiki

John Lisu – Wewe ni Rafiki

Download Wewe ni Rafiki Mp3 byย  Ft. Babrah Peres

The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives โ€œโ€ birth out a song of praise worship which he titles โ€œWewe ni Rafikiโ€œ featuring Babrah Peres.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE JOHN LISU SONGS HERE

Lyrics: Wewe ni Rafiki byย 

Wewe u Mtakatifu
Mungu mwenye nguvu
Sifa zako za kaa milele
(You are holy oh powerful God, your praise is everlasting)

Mfalme wa utukufu, nyota ya asubuhi
Nitaimba sifa zako Bwana
(King of glory, star of the morning; I will sing your praises Lord)

Wewe ni rafiki yangu wa karibu
Nitaimba sifa zako
(You are my close friend & confidant, I will sing your praises)

Wewe ni afya ya uso wangu
Nitasimulia ajabu zako Bwana
(You are the health of my countenance, I will tell of your wonders Lord)

Unifiche sasa chini ya mbawa zako
Nifunike kwa mkono wako ewe Mungu
(Hide me now under your wings, cover me with your hand oh God)

Bahari ikiinuka mafuriko yakivuma
Utakuwa nami hutaniacha Bwana
(When the oceans rise and thunders roar; you will be with me, you will not leave me Lord)

(Repeat wewe ni rafiki yangu wa Karibu)

Wastahili wewe e Bwana
Hakuna mwingine kama wewe
(You are worthy oh Lord; there is none else like you)
(Repeat many times)

Hebu inua mikono yako kwa Bwana mwambie wastahili (lift up your hands to the Lord tell him โ€œYou are worthy โ€œ)

Comment below with your feedback and thoughts on this post.