Download Mungu Ni Nani? Mp3 by The Saints Ministers
DOWNLOAD MORE THE SAINTS MINISTERS SONGS HERE
You May Also Like: ๐๐ฝ
Lyrics: Mungu Ni Nani? by The Saints Ministers
Intro
Macho yako Mungu huona duniani kote Hatua zetu salama nawe,
Hauchoki nasi Mungu, tujapotanga mbali nawe,
Watufuata kwa upole tugeukapo upo pale.
Chorus
Jamani tunaanguka, tunavunjika lakini Mungu ni nani Atusimamisha tena,
Tumepona, tuna nguvu, tuwashindi Mungu atukuzwe.
- Huwa nakosa maneno sijui nishukuruje, Mungu uwe kwangu Imani inadidimia,
Machozi yamefumba macho ila nakutumaini, chochote kitakachokuja umenifunzaโฆ.
Japo ninaanguka, ninavunjika lakini Mungu ni nani Anisimamisha tena, Nimepona, Nina nguvu, Ni mshindi Mungu atukuzwe. - Wakati siwezi simama tena, ninapohitaji nguvu mpya ninakutafuta kote ulipo masahibu yanisongapo.
Asema tuanguke kwenye mwamba, atushike kwa mkono wa kuume, Tuwe wateule wako Bwana ujapotusimamisha.