Gospel Global Msanii Music Group – Asubuhi Njema

Msanii Music Group – Asubuhi Njema

Download Asubuhi Njema Mp3 by

The renowned Global Christian music team of praisers and worshippers whose songs have blessed lives โ€œโ€ birth out a song of praise worship which they title โ€œAsubuhi Njemaโ€œ. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Download More MSANII MUSIC GROUP Songs Here

Lyrics: Asubuhi Njema by

Asubuhi njema, asubuhi ya furaha
Tutakapovuka mtu wa juu ndani
Tukishangilia, tukiimba kwa furaha
Hallelujah, hallelujah na asifiwe

Asubuhi njema, asubuhi ya furaha
Tutakapovuka mtu wa juu ndani
Tukishangilia, tukiimba kwa furaha
Hallelujah, hallelujah na asifiwe
Hallelujah, Hallelujah na asifiwe

Washindi watafurahi kukanyanga muji mpya
Taabu zote wataisahau pale
Wakiingiya muji ule wataonana na Yesu
Atawatafuta machozi kwa furaha

Washindi watafurahi kukanyanga muji mpya
Taabu zote wataisahau pale
Wakiingiya muji ule wataonana na Yesu
Atawatafuta machozi kwa furaha

Tutakapofika katika muji ule
Muji mtakatifu paka uji kwa Mungu
Kiti nichalezi akitiye baba Mungu
Kutakaribicha pamoja na monkozi
Tutakapofika katika muji ule
Muji mtakatifu paka uji kwa Mungu
Kiti nichalezi akitiye baba Mungu
Kutakaribicha pamoja na monkozi
Kutakaribicha pamoja na monkozi

Washindi watafurahi kukanyanga muji mpya
Taabu zote wataisahau pale
Wakiingiya muji ule wataonana na Yesu
Atawatafuta machozi kwa furaha
Washindi watafurahi kukanyanga muji mpya
Taabu zote wataisahau pale
Wakiingiya muji ule wataonana na Yesu
Atawatafuta machozi kwa furaha

Nyimbo za furaha, tutaziimba pale
Tukipongesana, kumbe haniani mkono
Tukitasahamu, takasa kwa hakika
Sifa na heshima zote ni kwa Jรฉhovah
Nyimbo za furaha, tutaziimba pale
Tukipongesana, kumbe haniani mkono
Tukitasahamu, takasa kwa hakika
Sifa na heshima zote ni Kwa Jรฉhovah
Sifa na heshima zote ni Jรฉhovah

Washindi watafurahi kukanyanga muji mpya
Taabu zote wataisahau pale
Wakiingiya muji ule wataonana na Yesu
Atawatafuta machozi kwa furaha
Washindi watafurahi kukanyanga muji mpya
Taabu zote wataisahau pale
Wakiingiya muji ule wataonana na Yesu
Atawatafuta machozi kwa furaha
Washindi watafurahi kukanyanga muji mpya
Taabu zote wataisahau pale
Wakiingiya muji ule wataonana na Yesu
Atawatafuta machozi kwa furaha

Comment below with your feedback and thoughts on this post.