Download Maandamano Mp3 by Bien Ft. Breeder LW
Here’s an amazing song and music lyrics from the globally recognised Grammy award winning songwriter, musician and celebrated vocalist, “Bien“. It’s a song titled “Maandamano” featuring the renowned music artist “Breeder LW“, and was released in 2024. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija
What enhances the uniqueness of this song is its partnership with the acclaimed and award-winning music artist “Breeder LW“. Their collaboration has resulted in a masterpiece that will enchant listeners with its exceptional verses and irresistible melodies.
Lyrics: Maandamano by Bien
[Intro : Uhuru Kenyatta]
“We have a Youth Fund, that if not properly handled can be a time bomb that can blow this country into pieces”
[Verse 1: Bien]
Wanadhani si bongo lala
Kikupita we bongo lala
Na waliosema jana haiwezi fika leo
Tuko ground tunazoza
Na jiji kuu kumewaka sana
Kuna mabeast wanachafua rada
Na walosema jana haiwezi fika leo
Tuko ground tunazoza
Haa hakuna mboka
Wapeleke shuleni watasoma
Madakitari wamegoma
Hapa sa ni yesu atatuponya
Waambie punda imechoka sana
Na farasi bado hijapatikana
Ni mandai wanagonya na mali wanabonda
Tunakonda wananona
[Chorus: Bien]
Maandamano maandamano
Maandamano maandamano
Uh mi say
Maandamano maandamano
Maandamano maandamano
Mapambano, maandamano
Ni maandamano, maandamano
Na mapambano, maandamano
Bado mapambano, maandamano
(Yeah big baba, yo)
[Verse 2: Breeder LW]
Independence 60 years tuliambiwa ni self rule
Billions on billions tunaibiwa na the same crooks
“Tunalipa madeni” hizo ndio ma excuse
Hii ni generation zii tuezi make the same moves
Tribeless Partyless hio ndio msimamo
They killing us kwa protest si bado tuna march on
RIP to our heroes tushawasha candles
Haki iwe ngao na mlinzi
Nionyeshe politician mgani mwenye si mwizi
Sunday wako church pastor kuwabariki
Monday cheki news another scandal kwa TV
Yo kuna shughli inatakaga mbogi
Hujengi shule hakuna madawa hosi
Tumejam usijifanye huja notice
[Chorus: Bien]
Maandamano maandamano
Maandamano maandamano
Uh mi say
Maandamano maandamano
Maandamano maandamano
Mapambano, maandamano
Ni maandamano, maandamano
Na mapambano, maandamano
Bado mapambano, maandamano
[Outro]
Eeehhh
(Hon. Sifuna)
“How do you teargas a baddie? Surely”
(Protester)
“We’re not going anywhere, We are rejecting the Finance Bill..Parliament tutafika, niskume!”
(Bien talking to crowd)
(Chorus fading)