Download Yesu Amefanya Mp3 by Ali Mukhwana
The talented, award-winning Kenyan gospel singer Ali Mukhwana, comes through with a song called “Yesu Amefanya“, and was released in 2024. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Yesu Amefanya” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Yesu Amefanya” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More ALI MUKHWANA Songs Here
Lyrics: Yesu Amefanya by Ali Mukhwana
Amefanya njia,
Amefanya,
{lililo onekana}
Lililo onekana ni ngumu, {bwana amefanya}
Bwana amefanya,
{amefanyaaa}
Amefanya njia
{amefanyaa bwana wa majeshi}
Amefanya
{lililo onekana ni ngumu}
Lililo onekana ni ngumu
{simba wa yuda}
Bwana amefanya,
{ooh jehovaa}
Ee bwana jinsi yalivyo matendo yako, {ndioโฆ} kwa hekima umefanya vyote pia,
Dunia imejawa mali,zako bahari yakusikia,
Baba ni lipi usiloliweza, ni lipi linakushinda,
Ulifanya njia pasipo na njia babaโฆbaba nakuelewa,
Umefanya njiaโฆ
Amefanya njia {amefanya njia}
Amefanya
{lililo onekana ni ngumu}
lililo onekana ni ngumu
{yesu amefanya}
Bwana amefanya
{ameefanya }
Amefanya njia {amefaanya njia}
Amefanya .
{linalo onekana ni ngumu}
Lililo onekana ni ngumu
{yesu amefanya}
Bwana amefanya. โฆoh…aha โฆ
{asante jehovah..asante mfalme}
ahaโฆoohโฆ
Unasema yakwamba wewe ni njia ya uzima
Tena mtu haji kwa baba ili kupitia kwako
Lililo onekana ni ngumu, bwana umeefanya
Ni lipi linalokushinda wewe, ni lipi limeshinda mawazo yako
Lililo onekana ni ngumu,, amefanya
Amefanya
Amefanya njia,{amefanya}
Amefanya,
{linalo onekana ni ngumu}
Lililo onekana ni ngumu,{oh jehovah}
Bwana amefanya,
{nimekuja kukutia moyo wewe}
Amefanya njia
{nimekuja kusema na wewe}
Amefanya
{linalo onekana ni ngumu}
Lililo onekana ni ngumu
Bwana amefanya{asante mfalme, asante}
Amefanya njia, {amefanya ye}
Amefanya
{linalo onekana}
Lililo onekana ni ngumu, {jehovah}
Bwana amefanya,
{yesu ameefanya}
Amefanya njia
{amefanyaa }
Amefanya
{linalo onekana}
Lililo onekana ni ngumu
{rado shelevaa}
Bwana amefanya,
{ni yeye aliyetembea juu ya maji}
{rado shelevaa , rado savaa}
Kama alitembea juu ya maji, anaweza tembea juu ya maisha yako
Ah jehovah
{lililo onekana}
Lililo onekana ni ngumu {yesu}
Bwana amefanya{wewe ni simba wa yuda}
Lililo onekana ni ngumu {unayo tenda bwana}
Bwana amefanya {bahari inakufahamu}
Lililo onekana ni{viwete wanamfahamu} ngumu
Bwana amefanya.
{linalo onekana ,linalo onekana ni ngumu}
Ah jehovah
Ulitengeneza njia pasipo na njiaโฆ
kweli umefanyaโฆ