Download Shusha Moto Mp3 by Giveness Ngao
Here’s an amazing song and music lyrics from the passionate gospel worshipper from Tanzania, “Giveness Ngao“. It’s a song titled “Shusha Moto“, and was released in 2024. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija
Download More GIVENESS NGAO Songs Here
Lyrics: Shusha Moto by Giveness Ngao
Aaaee Aaaee Aaaee Aaaee Aaaee Aaaee Aaaee Aaaee Aaaee Aaaee Aaaee Aaaee Aaaee Aaae
Wapelekee habari zangu mimi nina piganiwa na Bwana
Hiki ni kisiki cha mpingo mwenye panga na ajipangeร2
Chorus
Baba shusha moto, moto ulao moto, watu wote wakujue walitukuze jina lakoร2
Aiiiiiiiiii
Naujulikane (upoo) Mungu wa wokovu wangu (upoo)
Naujulikane (upoo) unayejibu kwa moto (upoo)
Naujulikane (upoo) Mungu mwenye nguvu Mungu wa Eliya (upoo)
Naujulikane (upoo) unayejibu kwa moto (upoo)
eee mooto (moto) fire
Chorus
Baba shusha moto moto ulao moto (aiiiiiiiiii) watu wote wakujue walitukuze jina lako
โฆโฆโฆโฆโฆโฆโฆโฆโฆโฆโฆ.
Anayecheza na maisha yangu ninapeleka (moto)
Anayecheza na huduma yangu ninapeleka (moto)
Anayecheza na Kazi yangu ninapeleka (moto)
Anayecheza na biashara zangu ninapeleka (moto)
Anayecheza na ndoa yangu ninapeleka ( moto)
Anayecheza na watoto wangu ninapeleka (moto)
eee!!! uchawi woteโฆ moto
uganga woteโฆ. moto
tunguli zaoโฆ. moto
madhabahu zaoโฆ. moto
ee!!! mootoโฆ. moto ร3
(aaaa fire)
mootoโฆโฆ moto ร3
(aaaah fire)
REPEAT CHORUS