Download Still Not Young Mp3 by Godfrey Steven
The Gospel Music Minister, Songwriter, Recording and Performing artist from Tanzania Godfrey Steven, comes through with a song called “Still Not Young“, and was released in 2022. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Still Not Young” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Still Not Young” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More GODFREY STEVEN Songs Here
Lyrics: Still Not Young by Godfrey Steven
Eiyelele mama yelele mama yelel
Mhhm
Unyenyekevu haimaanishi niwe mwoga bwanaa,
Upole haimaanishi niwe mjinga tenaa,
Ujasiri haimaanishi niwe kiburi mmhh,
Karma yangu haina maana nidharau wenginee tena,
Mmhhm umenitenda ukarimu bwaanaa eeeh
roho yangu imekufurahiii iya
umenipa hekima kujua haya dady yyoooh,
Umaarufu usinitetereshe
Still not Young
(Hoohhoo umenijaza Imani)
mmmhhmh Still not young
(Hooohoooh Umenikuza mwanao)
mmhh si mdogo tena
(Bwana umenijaza Imani)
Heeehee si mdogo tenaaa hohoo umenikuza mwanao
mmhh
the rider of my jurney yani safari ni wewe tu,
na tena bila wewe safari yangu itadorola,
nipe imani haundonas ibaki moyoni nikijikweza ukinidekeza nitadorola
mmhh umenitenda ukarimu Bwana hoohooh roho yangu imekufurahiii iiya,
umenipa hekima kujua haya dady iii umaharufu usinitetereshe.,
Still not Young
hhhohoohooh(Bwana)umenijaza IImani,
(heeh still not young)
still not young(hoooohh) eeehh bwanaaaa(umenikuza mwanao)
Imani yangu yaku kuwa mdogo
si mdogo tena (Bwana umenijaza Imani)
Heehe mimi si mdogoo
si mdogo tena hohooh umenikuza mwanaa
mmhhm nguti ndaga fijo we kyala we ttatagwalugalu
mmhh dhumbe mimi si mdodo bituuu zumbe yesu umenijaza Imani…