Download Mtetezi Mp3 by Godwill Babette
Here’s an amazing song and music lyrics from the talented Kenyan gospel singer, songwriter and worship leader, “Godwill Babette“. It’s a song titled “Mtetezi“, and was released in 2024. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija
Download More GODWILL BABETTE Songs Here
Lyrics: Mtetezi by Godwill Babette
Rico-
Ricobeats has music
Ewe Mtetezi (ewe Mtetezi)
Umetupenda
(Halleluya kwako)
Eh, Ritchy Bitz
Wako wapi, wale wale wafungwa
Nimebeba ujumbe wakumaliza, ah, iyo kasoro
Wako wapi, wale, wale wajane
Nimebeba antidote ya kumaliza, ah, iyo kasoro
Kumtegemea Yesu ni necessary
Urembo unayoona ni gharama ya msalaba
Vinatoka kwa jina moja tu, jina mtetezi Yesu (niye)
Mi nna-testify huku, uh (niye)
Aweza kutubariki, leo mkokoteni kesho gari
Natena atunawiri kutoka baiskeli hadi Bugatti
Ni yeye mtetezi, mtetezi ni ye
Na hakuna kama yeye
Ni yeye mtetezi (mtetezi), mtetezi ni ye
Na hakuna (yeye) kama yeye
Anitetee nimwite Mulungu (nimwite Mulungu, ah)
Amenitetea nimwite Jehova, hah (Jehova Jire)
Amenitetea nimwite Nyasaye
Amenitetea nimwite Chineke
Kumtegemea Yesu ni necessary
Urembo unayoona ni gharama ya msalaba
Vinatoka kwa jina moja tu, jina mtetezi Yesu (niye)
Mi nna-testify huku, uh (niye)
Aweza kutubariki, leo mkokoteni kesho gari
Natena hatunawiri kutoka baiskeli hadi Bugatti
Ni yeye mtetezi (mtetezi), mtetezi ni ye (mtetezi)
Na hakuna kama yeye
Ni yeye mtetezi (mtetezi), mtetezi ni ye (oh)
Na hakuna (haku-) kama yeye
Shika sana ulipo (shika sana uliko)
Hakuna wewe kwa mawazo
Yeye ni Mungu (Mungu)
Shika sana ulipo
Hakuna wewe kwa mawazo
Yeye ni Mungu, uh
Yeye nashughulikiwa nae (nae)
Yote yakwangu yanashughulikiwa nae
Eh-eh, nashughulikiwa nae (nae)
Yote yakwangu yanashughulikiwa kilele
Ni yeye mtetezi, mtetezi ni ye
Na hakuna (kama ye) kama yeye
Ni yeye mtetezi (haku-), mtetezi ni ye (haku-)
Na hakuna (kama yeye) kama yeye
Ni yeye mtetezi (mtetezi), mtetezi ni ye
Na hakuna (ni yeye) kama yeye
Ni yeye mtetezi (mtetezi), mtetezi ni ye
Na hakuna (yeye) kama yeye
Oh, yeah-eh, ah-ah, eh
Oh, mtetezi wangu
Alijitoa dhabihuni nipate
Eh, baraka, ah-ah-ah-aah
Yeah-eh, ah-ah-a
Akutetee, I mean akutetee
Ritchy Bitz
(Kama yeye)