Download Utukufu Wako Mp3 by Chorale Nouvelle Semence
The vibrant gospel music choir, Chorale Nouvelle Semence presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Utukufu Wako“. This track, released in 2024 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Utukufu Wako” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More CHORALE NOUVELLE SEMENCE Songs Here
Lyrics: Utukufu Wako by Chorale Nouvelle Semence
Utukufu wako
Nguvu zako bwana
Upendo wako niwa milele
Rehema Yako bwana
Neema Yako kwangu
Yanitosha maishani mwangu
Kila asubui
Umenionesha rehema Yako
Kila asubui
Umeweka wimbo kinywani mwangu
Bwana
Nitaziimba sifa zako
Nitainuwa jina lako Bwana
Nitaziimba sifa zako
Nitahimidi jina lako Bwana
Yu mwema
umejaa rehema
Nitaimba sifa zako milele
Bwana wee yumwema
Umejaa rehema
Nitacheza kwa furaha milele
Kwa shangwe
Furaha
Nitaimba sifa zako milele
Kwa shangwe
Bila woga nitakiri jina lako milele