Download Mshukuru Mungu Tu Mp3 by Sifaeli Mwabuka
Here’s an amazing song and music lyrics from the talented gospel Musician from Tanzania, “Sifaeli Mwabuka“. It’s a song titled “Mshukuru Mungu Tu“, and was released in 2025. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija
Download More SIFAELI MWABUKA Songs Here
Lyrics: Mshukuru Mungu Tu by Sifaeli Mwabuka
asante baba
Asante Mungu Wangu
hivi nilivyo
Mahali nimefika
Asante baba
Ni huruma yako baba
Mimi ninani
Asante baba
Vile baba umeniumba
Mwanadamu asingeweza
Asante baba
Najivunia ulivyoniumba
Kazi ya mikono yako
Asante baba
Hivi nilivyoooo
Hivi nilivyo
Hivi nilivyoooo yesu
Verse2:
Mahali nimefika acha Mimi nimshukuru Mungu nasema asante asante baba
Kwa umbali Huu nilionao acha Mimi nimshukuru Mungu nasema asante asante baba
Kule baba alikonitoa mwanadamu asingeweza nasema asante asante baba
Vile Vita alivyonishindia mwadamu asingeweza nasema asante asante baba ร2
Mavumbini alikonitoa mwanadamu asingeweza nasema asante asante baba
Hata uzima Huu nilionao mwenzenu kwangu Ni muujiza nasema asante asante baba ร2
Chorus
ASANTE ASANTE ASANTEE MUNGU WANGUร8
asante baba
Asante Mungu Wangu
hivi nilivyo
Mahali nimefika
Asante baba
Ni huruma yako baba
Mimi ninani
Asante baba
Vile baba umeniumba
Mwanadamu asingeweza
Asante baba
Najivunia ulivyoniumba
Kazi ya mikono yako
Asante baba
Hivi nilivyoooo
Hivi nilivyo
Hivi nilivyoooo yesu