Download Niangalie Mp3 by Kethan Ft. Wanavokali
The Kenyan-based singer, songwriter and music producer Kethan presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Niangalie“, in collaboration with the esteemed music artist “Wanavokali“. This track, released in 2025 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Niangalie” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More KETHAN Songs Here
Adding to the uniqueness of this song is the collaboration with the acclaimed and award-winning music artist Wanavokali. Their combined talents has truly brought “Niangalie” to life, creating a musical masterpiece.
Lyrics: Niangalie by Kethan
Kuna wenye vitabu
Kuna wenye hesabu
Wengine tulibarikiwa sauti na kalamu
Ninavyojijua, huwa napenda hadi mwisho
Kwa yale machache najivunia
Moja ni kukuita wangu
Wengi walifanya nikadhani sitawahi kupenda
Ila wewe umenionyesha ninaweza kupendwa
Na wengi wakasema eti sitawahi weza kuweza
Ona vile tunaishi hii life bila pressure
Kama unataka penzi isoloisha
Niangalie
Me ninapo kuona
Naona maisha
Niangalie, Niangalie
Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie
Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie
We wathamani kuliko shaba
Ningetamani nikuite lover
Hakuna jambo linanloweza kunitenganisha na penzi lako
Unachotaka umekipata
Utapokwenda nitakufwata
I will always be yours
You will always be mine
Till the end of time
Na-aah
Nakupenda
Na-aah
Nakupenda
Kama unataka penzi isoloisha
Niangalie
Me ninapo kuona
Naona maisha
Niangalie, Niangalie
Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie
Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie