Gospel Global Adawnage Band – Mfalme wa Wafalme

Adawnage Band – Mfalme wa Wafalme

Download Mfalme wa Wafalme Mp3 by Ft. Millicent Kamau & Moji Shortbabaa

The renowned Global Christianย music team of praisers and worshippers whose songs have blessed lives โ€œโ€ perform a song of praise worship which is titled โ€œMfalme wa Wafalmeโ€œ featuringย Millicent Kamau & Moji Shortbabaa. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE ADAWNAGE BAND SONGS HERE

Lyrics: Mfalme wa Wafalme by

Verse 1
Lord you’re good nimekubali
We ni mwema kwa kila hali
Unanijali ulipigwa misumari
We ni asali tena we mkali

Lord you’re good nimekubali
We ni mwema kwa kila hali
Umenitoa mbali, ni safari
Nina shuhuda na ni mbalimbali

Bridge
Lord you’re good and your mercy endureth forever x4

Chorus
Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana U mwema x2

Lord you’re good and Your mercy endureth forever x4

Verse 2
I look around and see it’s already done the work of your hands it’s already done
Mkono wako mkuu u nami bondeni milimani

Verse 3
Lord you’re so good, we ni mpoa
Love yako pure, haina madoa
Master uko juu, naitika ukikohoa
We ndo dawa tu aah nikikohoa

God we ni mtrue, we ni wa kishua
Your promises are true, hio niko sure
We huniita rich wakiniita poor
We ndo me hureach kukiungua

Reprise
Alpha na Omega, Bwana wa mabwana
Mwema we ni mwema, sana tena sana.

Lyrics

Reprise
Goodness and mercy x2
Your goodness and mercy zitanifuata milele

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here