Download Nimeona Mp3 by Angel Benard
Here’s a song by the Global prolific music artiste and talented singer “Angel Benard“. This song is titled “Nimeona”, as it was released alongside its video. You’ll enjoy as you listen.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and stay graced
DOWNLOAD MORE ANGEL BENARD SONGS HERE
You May Also Like: 👇🏽
Lyrics: Nimeona by Angel Benard
Umbali huu nimefika
Si Kwa nguvu zangu
Si uweza wangu
Bwana amefanya
Hapa nasimama
Si Kwa nguvu zangu
Si uweza wangu
Bwana amefanya
(Chorus)
Nimeona:
Wema *3
Usiosemeka
Nimeona
Mungu asieshindwa
Nimeona
Mungu asopendelea
Nimeona
Rafiki mwaminifu
Nimeona
Shujaa wa vita
(Repeat Chorus)
Bridge:
Bwana ni Mungu
Akisema neno
Linasimama *2
Nimeona
Wema * 3
Usiosemeka