Gospel Global Bahati Bukuku – Ahabu

Bahati Bukuku – Ahabu

Download Ahabu Mp3 Audio by

Here’s an amazing song and music lyrics from the talented musician and renowned global vocalist ““. It’s a song titled “Ahabu“. This classic song, accompanied by a stunning music video and lyrics, is sure to captivate and enchant listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience!

Artist:
Song Title:Ahabu
Released:2012
Song Duration:08:41

Get Mp3 Audio for free, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. Let its melodious tunes and heartfelt lyrics be a source of inspiration and comfort to those who need it. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More Bahati Bukuku Songs Here

Lyrics: Ahabu by Bahati Bukuku

Hakuna mtawala mbaya kama ahabu
Hakuna mtawara mbaya kama Ahabu
Wakati wa utawara wake Ahabu
Wakati wa utawara wake Ahabu
Israeli walimtenda Mungu dhambi
Israeli waligeukia njia mbaya
Wakati wa utawara wake Ahabu
Wakati wa utawara wake Ahabu
Wakati wa utawara wake Ahabu
Alitokea nabii jina lake Eliah
Taifa lile lilimtenda Mungu
Hasira ya Mungu iliwaka ndani ya Eliah
Eliah akachukia dhambi
Akaua manabii wa bahari wote
Alianza na manabii mia moja wa baari
Alishusha moto toka mbiguni
Uliwalamba manabii wa baari wote
Eliah hakuishia hapo
Walipoendelea kutenda dhambi tena
Eliah alisimamisha mvua
Taifa lile lilimuogopa Mungu wa Elia
Eliah alishusha moto toka mbinguni
Eliah alisimamisha mvua
Eliah wakamuogopa Mungu watu wale
Ilifika wakati Eliah akasema
Waitwe manabii wote mia nna hamsini
Na ijulikane upo Mungu unayeishi
Na ijulikaneupo Mungu unayeishi
Kama bahari ni Mungu basi leo tutamuabudu
Na kama Mungu yupo basi leo nitajua
Mmh Ahabu… ooh Ahabu
Wakajikusanya mabahari wote
Mianne hamsini wakaandaa sadaka yao ya kuteketezwa.
Eliah akawambia iteni Mungu
Lakini Mungu bahari hakushuka tena
Eliah akawaambia muamsheni
Mungu wa bahari hakuamka
Baari hakuamka na wala hakuwasaidia
Baari hakushuka na wala hakuwasaidia
Eliah akasimama tena
Akaandaa sadaka yake
Akawaambia leteni hata maji
Sadaka yangu imwagiliwe
Akajipiga kifua chake hee
Na ujulikane Mungu wa Eliah
Moto kutoka mbinguni ulishuka
Ulibeba sadaka ya Eliah kila kitu
Moto kutoka mbinguni ulishuka
Ulibeba sadaka ya Eliah kila kitu
Wale miungu wa bahari wote walitetemeka
Eliah aliwaua wote hawakuweza kumsogelea
Ezabeli akatuma mjumbe
Nenda kamwambie Eliah
Kesho majira kama haya
Roho ya Eliah itakuwa mikononi mwangu
Kesho majira kama haya
Roho ya Eliah itakuwa mikononi mwangu
Maneno ya yesabeli yalimnyima usingizi
Maneno ya Ezabeli yalimuharibia siku
Eliah akakimbia akasahau miujiza aliyotenda
Eliah akakimbia sauti ya yesabeli
Mmh Ahabu. mmh Ahabu
Yawezekana upo mtu
Uliyefanya miujiza mingi
Sauti za adui zimesikika tena
Wanatabili huwezi shinda
Na mimi leo nakutabilia
Tawala leo kibali unacho
Mimi leo nakutabilia
Maneno ya adui zako yasikunyime usingizi
Maneno ya adui zako yasikuharibie siku
Menenoya adui zako yasikunyime usingizi
Maneno ya adui zako yasikuharibie siku
Eliah alishusha moto toka mbinguni
Eliah alisimamisha mvua
Eliah wakamuogopa mungu watu wale
Na ijulikane upo mungu unayeishi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here