Gospel Global Bahati Bukuku – Nimekukimbilia

Bahati Bukuku – Nimekukimbilia

Download Nimekukimbilia Mp3 Audio by

Here’s an amazing song and music lyrics from the talented musician and renowned global vocalist ““. It’s a song titled “Nimekukimbilia“. This classic song, accompanied by a stunning music video and lyrics, is sure to captivate and enchant listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience!

Artist:
Song Title:Nimekukimbilia
Released:2012
Song Duration:07:31

Get Mp3 Audio for free, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. Let its melodious tunes and heartfelt lyrics be a source of inspiration and comfort to those who need it. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More Bahati Bukuku Songs Here

Lyrics: Nimekukimbilia by Bahati Bukuku

Jina lako Bwana, jina lako oh-h
Jina lako Bwana lenye ngufu
Jina lako Bwana, jina lako
Jina lako Bwana lenye uweza
Jina lako Yesu, jina lako
Jina lako Yesu, jina lako
Jina lako Yesu lenye uweza tena

Nimekukimbilia Bwana
Sifa zitoke kinyani mwangu
Ume nichaguwa wewe
Unitumiye tchombo tcha sifa
Nimekukimbilia Bwana
Sifa zitoke kinyani mwangu
Ume nichaguguwa wewe
Unitumiye tchombo tcha sifa
Jina lako Yesu lenye ngufu
Jina lako Yesu lenye uweja
Jina lako Yesu lenye mamaulaka
Jina lako Bwana lenye nguvu tena
Jina lako Bwana lenye mamulaka

Kwakuwa umeniita
Nitasema ah
Yale ambayo anishudiya
Kwakuwa umeniita
Nita sema ah
Yale ambayo anishudiya
Wengine wame jeruriwa na ndowa zao
Wengine wame jeruriwa na ugumu wa maisha
Wengine wame jeruriwa na ugumu wa maisha
Wengine wame jeruriwa na kesi mabarazani
Wengine wame jeruriwa na watchumba
Kwa jili ya utukufu wako Baba ponya roho zao
Ponya roho zao kwa utukufu wako Yesu
Jina lako Yesu lenye ngufu
Jina lako Yesu lenye mamaulaka

Kuna watumishi
Wame jeruriwa, ah-h-h
Yale majeraha ya rohoni
Kuna watumishi
Wame jeruriwa
Yale majeraha ya rohoni
Wengine ni watchungaji wame jeruriwa na wahumini
Wengine ni wahumini wame jeruriwa na watchungaji
Wengine ni watchungaji wame jeruriwa na wahumini
Wengine ni wahumini wame jeruriwa na watchungaji
Kwajili ya utukufu wako Baba ponya roho zaho
Kwajili ya utukufu wako Baba ponya roho zaho
Ponya roho zaho kwa utukufu wako Baba
Ponya roho zaho kwa utukufu wako Baba
Jina lako Yesu lenye ngufu
Jina lako Yesu lenye uweja
Jina lako Yesu lenye mamulaka

Uwa inuwe masikini Baba
Walio kata tamaa kimaisha
Uwa inuwe wale masikini
Walio kata tamaa kimaisha
Wengine wame jeruriwa na ugumu wa maisha
Wengine wame jeruriwa kwa kufukuzua kazi
Wengine wame jeruriwa kwa kukatwa mapao zao
Wengine wame jeruriwa na ugumu wa maisha
Ponya roho zaho kwa utukufu wako Bwana
Jibu mahombi yao

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here