Music Video & Lyrics Bahati – Lala Amka

Bahati – Lala Amka

Download Lala Amka Mp3 by

The prominent Kenyan singer and songwriter , comes through with a song called “Lala Amka“, and was released in 2017. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Lala Amka” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Lala Amka” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.

Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More BAHATI Songs Here

Lyrics: Lala Amka by

Niwe kutoka monday ,tuesday
Nisikusahau maulana
Ikifika friday sunday kanisani niwe ibada
Niwe kutoka monday ,tuesday
Nisikusahau maulana
Ikifika friday sunday kanisani niwe ibad

Basi cheza de,
Dance de
Ukiweza de kama daude
Cheza de,
Dance de
Ukiweza de ata kide kide

Tunalala amka
Lala amka yesu anapepea
Tunalala amka
Lala amka zidi kutuombea
Tunalala amka
Lala amka yesu anapepea
Tunalala amka
Lala amka zidi kutuombea

Maisha yasizidi kusahau Mwenyezi Baba
Uceleb burundani ni kusahau na Yesu Baba
Nisiwe kama mwana mpotevu
Nifanye mwaminifu ka joseph
Nisiwe kama mwana mpotevu
Niepushe majaribu ka Ayub

Basi cheza de,
Dance de
Ukiweza de kama daude
Cheza de,
Dance de
Ukiweza de ata kide kide

Tunalala amka
Lala amka yesu anapepea
Tunalala amka
Lala amka zidi kutuombea
Tunalala amka
Lala amka yesu anapepea
Tunalala amka
Lala amka zidi kutuombea

Niwe kutoka monday ,tuesday
Nisikusahau maulana
Ikifika friday sunday kanisani niwe ibada

Basi cheza de,
Dance de
Ukiweza de kama daud
Cheza de,
Dance de
Ukiweza de ata kide kide

Tunalala amka
Lala amka yesu anapepea
Tunalala amka
Lala amka zidi kutuombea
Tunalala amka
Lala amka yesu anapepea
Tunalala amka
Lala amka zidi kutuombea

Niwe kutoka monday ,tuesday
Nisikusahau maulana
Ikifika friday sunday kanisani niwe ibada

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here