Download Tutafika Salama Mp3 by Beatrice Mwaipaja
The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives โBeatrice Mwaipajaโ birth out a song of praise worship which she titles โTutafika Salamaโ.
Get Audio Mp3, stream, share and be blessed.
DOWNLOAD MORE BEATRICE MWAIPAJA SONGS HERE
Lyrics: Tutafika Salama by Beatrice Mwaipaja
Jana tulilala njaa (Yesterday we slept hungry)
Usiku ulikuwa wa taabu (The night was troubled)
Pamoja na mateso yote (With all the suffering)
Asubuhi ilifika (Morning came)
Tukashukuru Mungu (We thanked God)
Jana tulilala njaa (Yesterday we slept hungry)
Usiku ulikuwa wa taabu nyingi (The night was full of trouble)
Pamoja na mateso yote (With all the suffering)
Asubuhi ilifika (Morning came)
Tukashukuru Mungu (We thanked God)
Umetushika mkono Mungu (Youโve held our hand God)
Umetupigania Mungu (Youโve fought for us God)
Pamoja na yale (Together with)
Magumu yote (All the difficulties)
Tulikuwa washinde (We were defeated)
Hatuna mashaka na kesho (Weโre not worried about tomorrow)
Sina mashaka na niendako (Iโm not skeptical about my destination)
Aliyenivusha jana akanifikisha leo (He saw me through yesterday and let me see today)
Atanifikisha kesho (Heโll see me through tomorrow)
Mna deni kuona Mungu (I have a debt to see God)
Mna deni kuona Mungu (I have a debt to see God)
Safari yangu iko na Mungu (My journey is with God)
Itafika salama (Iโll arrive safely)
Ninajua niliko (I know where I am)
Nakumbuka nilikotoka (I remember where I came from)
Kule ninakokwenda (Where Iโm going)
Ni Mungu mwenyewe atanifikisha (Itโs God himself whoโll bring me)
Tunakumbuka jana (We remember yesterday)
Kwa nini tukumbuke jana (Why remember yesterday)
Jana inatukumbusha (Yesterday reminds us)
Kule Mungu alikotutoa (Where God delivered us from)
Mpendwa usisahau (Dear friend donโt forget)
Mungu alikotutoa (God delivered us)
Usisahau fadhili za Mungu (Donโt forget Godโs kindness)
Katika maisha yetu (In our lives)
Ebu ikumbuke jana (Letโs remember yesterday)
Kumbuka Mungu alipotutoa (Remember where God delivered us from)
Basi hakika utakuwa na uhakika (Then youโll certainly be sure)
Wa kule tunapokwenda (Of our destination)
Ukisahau jana (If you forget yesterday)
Huwezi kupata ujasiri (You canโt get the bravery)
Wa kujikaza katika magumu (To persist in the difficulties)
Unayopitia (Youโre going through)
Tunakumbuka jana (We remember yesterday)
Tulipovushwa na mengi (When we went through a lot)
Hata leo najitia moyo (Even today Iโve the courage)
Wa kusonga mbele (To go on)
Nenda nasi Mungu (Go with us God)
Nenda nasi Mungu (Go with us God)
Tukiwa na Mungu, tukiwa na Mungu (With God, with God)
Hatuwezi potea (We canโt go astray)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Pale Mungu, kule Mungu (Where God, where God)
Anapotaka tuwepo (Want us to be)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Kwa msaada wa Mungu (With the help of God)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Kwa msaada wa Mungu (With the help of God)
(Uh wa Mungu) (Oh of God)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Kwa msaada wa Mungu (With the help of God)
(Uh wa Mungu) (Oh of God)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Kwa msaada wa Mungu (With the help of God)
(Uh wa Mungu) (Oh of God)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Kiongozi mwema Mungu (Our good leader God)
Hawezi kutuacha njiani (You canโt abandon us on the way)
Mpendwa usihofu tuko na Mungu (Dear friend donโt worry weโre with God)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Usiogope (Donโt be afraid)
Usiogope (Donโt be afraid)
Tukumbuke safari ya kutoka Misri (Letโs remember the journey from Egypt)
Mungu alitufikisha (God brought us)
Alitushika mkono (He held our hands)
Alitutia nguvu (He strengthened us)
Jeshi la Pharaoh lilipotufuata (When Pharaohโs army followed us)
Liliteketea (They were eliminated)
Hata leo hii (Even today)
Hao maadui unaowaona (The enemies you see)
Mnadiri tuko na Mungu (Provided weโre with God)
Atatushika mkono (Heโll hold our hand)
Atatupigania (Heโll fight for us)
Atatutetea (Heโll defend us)
Pamoja na magumu yote, yote (With all the difficulties, all)
Tutakuwa washindi (Weโll be winners)
Atatufikisha (Heโll deliver us)
Wala usirudi nyuma (Donโt retreat)
Usikubali kukatishwa tama (Donโt let disappointment overwhelm you)
Mpaka tufike ngโambo (Until we get across)
Maana ngโambo ni karibu (For across is nearby)
Maana ngโambo ni karibu (For across is nearby)
Kwenye kusudi la Mungu kwangu (In Godโs will)
Ni karibu (Itโs close)
Bado tu kidogo (Itโs just a bit)
Sijarudi nyuma (Iโll not retreat)
Usijerudi nyuma (donโt retreat)
Ushafika pale (Youโve already arrived where)
Mungu anapotaka twende (God want us to go)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Pale Mungu, kule Mungu (Where God, where God)
Anapotaka tuwepo (Want us to be)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Kwa msaada wa Mungu (With the help of God)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Kwa msaada wa Mungu (With the help of God)
(Uh wa Mungu) (Oh of God)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)
Kwa msaada wa Mungu (With the help of God)
(Uh wa Mungu) (Oh of God)
Tutafika salama (Weโll arrive safely)