Gospel Global BOSS M.O.G – Vumilia

BOSS M.O.G – Vumilia

Download Vumilia Mp3 by Ft.

A soul-lifting song from the African Christian/Gospel worshipper, minister, and song writer ““, as this song is titled “Vumilia” featuring . This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.

Download Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Vumilia by

Kwa macho nikikuona, kwa nje wapendeza,
Umejipodoa na make ups, you look so fine,
Unakaa waumia, moyoni wateseka,
Walia ah, umenitunza jipodoa,
Na sasa nimeshagundua, nahisi kujiua,
(We oh x2), vumilia mama, (we ohx2)
Zidi kumwombea atabadilika (we oh x2)
Unajua mungu hapendi utengano, (we oh x2)
Mapenzi safari,
Naenda x2, sitaki balaa,
Naenda x2, sitaki noma na yeye,
Husiache kwako wana wanakuhitaji,
(No no x2)
Na watoto wataniuliza vipi mummy katoroka,
Kama ningemnyima penzi,
Angeniita mchoyo, muumba wangu moyo,
Atavuna kibogoyo,
(We oh x2), vumilia baba, (we oh x2),
Zidi kuwombea atabadilika, (we oh x2)
Unajua mungu hapendi utengano (we oh x2)
Mapenzi safari
Naenda x2, sitaki balaa,
Naenda x2, sitaki noma na yeye,
Husiache wako wanakuhitaji,
(No no x2)
Unajua mama bwana wako,
Ukufanya husijihisi wa dhamana,
Kwa kukutesa sanax2,
Kila unayo malazi mwenye dawa ni mola,
So inabidi uvumilivu iwe dawa yako,
Husiwe wa kasi kuondoka mama,
Husiwe mwepesi wa hasira mama,
(We oh x2), vumilia mama, (we oh x2)
Zidi kumwombea atabadilika (we oh x2)
Unajua mungu hapendi utengano, (we oh x2)
Mapenzi safari,
Mungu akikutazama nini atajivunia
Ukifanya utengano ambalo analichukia,
Sawa narudi, narudi sitavunja ndoa,
Sawa narudi, narudi nitamwomba mola,
Husiyesamehe, rudi nyumbani, (vumiliax3)
Narejea, narudi nyumbani, x2 (vumilia x3)

Comment below with your feedback and thoughts on this post.