Gospel Global Christina Shusho – Mifupa

Christina Shusho – Mifupa

Download Mifupa Mp3 by

The renowned and Celebrated Tanzanian gospel singer Christina Shusho whose songs has always motivated and blessed lives comes through with another powerful song titled “Mifupa

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Download More CHRISTINA SHOSHU Songs Here

Lyrics: Mifupa by

Ezekieli akiwa katika Roho
Bwana akamweka chini
Katika bonde nalo limejaa mifupa
Kamwambia Ezekieli “Je mifupa yaweza kuishi?”
Naye akajibu, “ee Bwana waijua wewe”
Bwana akamwambia “tabiri juu ya mifupa hii”
“Enyi mifupa, lisike neno la Bwana”

Mifupa mikavu nakutabiria
Kwa jina le Yesu, uwe hai tena
Mifupa mikavu nakutabiria
Kwa jina le Yesu, uwe hai tena

Tabiri kwa upepo na mwili
Roho wa Mungu aiweke dhahiri
Kwa wanadamu waliona jikavu
Kwa Mungu aliona jeshi moja shupavu
Kuna wengi wetu tunapambana
Ng’ang’a na maisha yetu ngumu zaidi ya janga
But hiyo ni tu ni current condition,
Position yetu in Christ, more than victorious
Help thee, wealth thee and righteous
Maandiko imesema si waridhi wa mfalme
Hautakufa, utaishi na kusimulia wema wa Bwana

Natabiri juu ya afya yako
Natabiri juu ya kazi yako
Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena
Natabiri juu ya ndoa yako
Natabiri juu ya watoto wako
Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena
Hautakufa, utaishi na kusimulia mema wa Bwana
Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena

Comment below with your feedback and thoughts on this post.