Top Christian Songs Christina Shusho – Ongoza Hatua Zangu

Christina Shusho – Ongoza Hatua Zangu

Christina Shusho Ongoza Hatua Zangu

Download Ongoza Hatua Zangu Mp3 by

The renowned and Celebrated Tanzanian gospel singer Christina Shusho whose songs has always motivated and blessed lives comes through with another powerful song titled โ€œOngoza Hatua Zanguโ€œ.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Download More CHRISTINA SHUSHO Songs Here

Lyrics: Ongoza Hatua Zangu by

Eeeh oooh wowowooo
Hatua za mwenye haki za ongozwa naye bwana na bwana hufurahia njia zake wakati wote ร—2
Nakukabidhi bwana njia zangu zote pia nakutumaini najua bwana utafanya hata nijapojikwaa sitaanguka chini bwana utanishika na kunitegemeza ร—2

Eehh haleluya wewe bwana wewe bwana bwana nimegusa mkono wako wafanya siri kwa ndani yangu haleluya haleluya

Mwangazie mtumishi wako uso wako mana ninayatamani maagizo yako elekeza hatua zangu kwa neno lako uovu usije ukanimiliki ร—2
(Ee bwana naomba) ongoza hatua zangu ee bwana ee bwana ongoza mwendo wangu ee bwana ee bwana
(Ee bwana naomba) ongoza hatua zangu (niongoze) ee bwana ee bwana (niongoze) ongoza mwendo wangu(niimarishe) ee bwana ee bwana (
Ee bwana)โ€ฆ

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here