Gospel Global Christopher Mwahangila – Nguzo Ya Moto

Christopher Mwahangila – Nguzo Ya Moto

Download Nguzo Ya Moto Mp3 by

The renowned Africanย singer who is is basking in the success by recording great praise and worship songs โ€œโ€œ, comes through with a song of praise which she calls โ€œNguzo Ya Motoโ€œ.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Download More CHRISTOPHER MWAHANGILA Songs Here

Lyrics: Nguzo Ya Moto by

Uwe nguzo ya moto mbele yangu
Adui wakija wasiniweze
Uwe nguzo ya moto maishani mwangu Mungu
Adui wakija wasiniweze
Wamefunguwa vinywa
Lengo wanimeze
Naomba Mungu nisaidie
Wamefungua makucha
Ili wanirarue
Naomba Mungu nipiganie
Uwe nguzo ya moto mbele yangu Mungu
Adui wakija wasiniweze
Uwe nguzo ya moyo maishani mwangu Yesu
Adui wakija wasiniweze
Uwe nguzo

Uwe nguzo ya moto mbele yangu (Nisaidie Yesu)
Adui wakija wasiniweze (Bila wewe siwezi Mungu)
Uwe nguzo ya moto mbele yangu
Maishani Mwangu
Adui wakija wasiniweze
Simama mbele yangu Mungu
Uwe nguzo ya moto mbele yangu
Simama nitetee
Adui wakija wasiniweze
Bila wewe siwezi Mungu
Uwe nguzo ya moto mbele yangu
Nisaidi Yesu
Adui wakija wasiniweze

Mungu ukiwa upande wangu
Hivi ni nani atasimama mbele yangu
Yesu ukiwa upande wangu
Hivi ni nani atapambana mbele yangu
Mimi nategemea kwako Mungu
Mimi naegemea kwako Mungu
Mimi natumaini kwako Mungu
Mimi natumaini Kwako Yesu
Nikingie Kifua
Uwe nguzo mbele
Nisaidie Bwana
Kupigana nao
Nikingie kifua
Uwe nguzo mbele
Nisaidie Bwana
Kapambana nao
Uwe nguzo

Uwe nguzo ya moto mbele yangu (Nisaidie Yesu)
Adui wakija wasiniweze (Bila wewe siwezi Mungu)
Uwe nguzo ya moto mbele yangu
Maishani Mwangu
Adui wakija wasiniweze
Simama mbele yangu Mungu
Uwe nguzo ya moto mbele yangu
Simama nitetee
Adui wakija wasiniweze
Bila wewe siwezi Mungu
Uwe nguzo ya moto mbele yangu
Nisaidi Yesu
Adui wakija wasiniweze

Wewe Mungu unaweza
Yesu Unaweza
Mungu Unaweza
Wewe Baba Unaweza
Mungu Unaweza
Yesu Unaweza
Kupasawazisha mahali palipoparuza
Yesu Unaweza
Mungu unaweza
Kuyavunja vuja mapingoya adui zangu
Mungu unaweza
Yesu unaweza
Imani yangu Mungu ni kwako
Msaada wangu Mungu nikwako
Sina mahali pengine pa kukimbilia
Ila ni kwako Mungu
Ila ni kwako Mungu
Sina mahali pengine pa kutegemea
Ila ni kwako Mungu
Uwe nguzo ya moto kwangu
Eeeehh Baba

Uwe nguzo ya moto mbele yangu (Nisaidie Yesu)
Adui wakija wasiniweze (Bila wewe siwezi Mungu)
Uwe nguzo ya moto mbele yangu
Maishani Mwangu
Adui wakija wasiniweze
Simama mbele yangu Mungu
Uwe nguzo ya moto mbele yangu
Simama nitetee
Adui wakija wasiniweze
Bila wewe siwezi Mungu
Uwe nguzo ya moto mbele yangu
Nisaidi Yesu
Adui wakija wasiniweze

Comment below with your feedback and thoughts on this post.