African Gospel Songs Dr Ipyana – Hata Hili Litapita

Dr Ipyana – Hata Hili Litapita

sddefault 30

Download Hata Hili Litapita Mp3 byย Dr. Ipyana Ft. Paul Clement

The eminent African Christian minister who is a medical doctor by profession has been endowed with grace to minister to the souls through heavenly inspired & devotional songs which express reverence for Godย โ€œDr Ipyanaโ€ย comes through with a song which he titles โ€œHata Hili Litapitaโ€ featuring Paul Clement.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE DR IPYANA SONGS HERE

Lyrics: Hata Hili Litapita byย Dr. Ipyana

Nitayainua macho yangu nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi (toka wapi eeehโ€ฆ)
Msaada wangu ni katika weeee
Usiye acha nipoteee chini ya msalaba wako

Nitayainua macho yangu nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi
Msaada wangu ni katika weeee
Usiye acha nipoteee chini ya msalaba wako

Choir:
When you say
Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako

Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako

Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako

Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako

Paul Clement:
Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako

Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako

Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako

Choir:
Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako

Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako

Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako

Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako

Halleluyah

Comment below with your feedback and thoughts on this post.