African Gospel Songs Dr. Ipyana – Sijawahi Weza Bila Wewe

Dr. Ipyana – Sijawahi Weza Bila Wewe

Download Sijawahi Weza Bila Wewe Mp3 byย Dr. Ipyana

The eminent African Christian minister who is a medical doctor by profession has been endowed with grace to minister to the souls through heavenly inspired & devotional songs which express reverence for Godย โ€œDr Ipyanaโ€ย comes through with a song which he titles โ€œSijawahi Weza Bila Weweโ€.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE DR IPYANA SONGS HERE

Lyrics: Sijawahi Weza Bila Wewe byย Dr. Ipyana

So nahitaji neema yako
Kushinda vita zote Baba
So nahitaji neema yako

So nahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
So nahitaji neema yako
Kushinda vita zote mbele yangu

Sijawahi weza, sitawahi weza
Sijawahi weza bila wewe bwana
Sitaweza mi

Nahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
Nahitaji neema yako
Kushinda vita zote mbele yangu

Nahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
Nahitaji neema yako
Kushinda vita zote mbele yangu

Maana sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitamani weza bila wewe
Maana sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitamani weza bila wewe

Maana sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitamani weza bila wewe
Maana sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitamani weza bila wewe

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here