Download Vidole Mp3 by Eko Dydda
One of Kenya’s most sensational gospel music artiste Eko Dydda, comes through with a song called “Vidole“, and was released in 2024. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Vidole” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Vidole” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More EKO DYDDA Songs Here
Lyrics: Vidole by Eko Dydda
Vidole
Vi vi vidole
Vidole
Vi vi vidole
Vidole
Vi vi vidole
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni kelele za chura
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni kelele za chura
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni kelele za chura
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni…
From nothing to something the state… niko
Useful kwa family ni ka… mwiko
Injili ipepete iwake ju ni ka… jiko
Shida zikiniona zinatoka ki… jiko
Cheki vile amevitu amedone
Vitu nimedone bado ni ye amedone
Vitu nilikuwa nadone Bora done ye ndio ameplan
Son of man
Nimemaliza I am done, abadan katan
By your grace niko ozone kama… oxygen
Akili ni nywele si tunalocks… inje
Zebedania, Zebedania, Zebedania, Zebedania
Zama, Zama, Zama, Zama
Zama ndani ya Yesu hapana weka nose… inje
Faida kwa Yesu weka loss… inje
Vidole
Vi vi vidole
Vidole
Vi vi vidole
Vidole
Vi vi vidole
Vidole
Vi vi vidole
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni kelele za chura
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni kelele za chura
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni kelele za chura
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni…
najua the future is… bright
Hakuna cha kuleft feature is… right
Past present future is… Christ
Ye ndiyo ameweza nimepanda… flight
Forever young tuite… waless
Maisha na King ndani ya… palace
Yesu ndio anafanya tu tawa… le
Kuja kwa Yesu achana na wa… le
Sipendi gauge siezi sema that I’m missing sipping
Blessing zinaflow kama Mississippi
Life inabamba hata sitishiki
Pombe hata naglance ah ah mi sishiki
What a man Jesus what a man
Kutembea juu ya maji tembea juu ya water man
His love so sweet toa ulimi onja that
True love si blind Batimayo ona that
Kuna venye, Kuna venye, Kuna venye Kuna venye
Kuna kuna, ku ku Kuna kuna venye
Kuna venye religion inaeza fanya umiss… purpose
Ufuate mother nature na umiss… Papa
Ushike omena na umiss… papa
Vidole
Vi vi vidole
Vidole
Vi vi vidole
Vidole
Vi vi vidole
Vidole
Vi vi vidole
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni kelele za chura
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni kelele za chura
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni kelele za chura
Ako na form form, ye ndio ako na form
Hapana sikizi watu hizo ni…s