Motivation and Inspiration Essence Of Worship – Moyo Wangu

Essence Of Worship – Moyo Wangu

Essence Of Worship Moyo Wangu

Download Moyo Wangu Mp3 by

The Christian music band from Tanzania “Essence Of Worship” releases a song of great praise which they title “Moyo Wangu”. The song was released alongside its video.

Get Mp3 Audio, Stream, Share and stay graced.

DOWNLOAD HERE

Download More ESSENCE OF WORSHIP Songs Here

Lyrics: Moyo Wangu by

Moyo wangu nakutolea wewe
Sishiki ata kitu kimoja nakutolea yote
Moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
Na mwili wangu huu ni hekalu wako roho
Moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
Na mwili wangu mimi ni hekalu wako roho
Umeniumba mimi nikurudishie utukufu
Umeniumba mimi nikurudishie utukufu

Moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
Na mwili wangu huu ni hekalu wako roho
Moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
Na mwili wangu mimi ni hekalu wako roho
Umeniumba mimi nikurudishie utukufu
Umeniumba mimi nikurudishie utukufu

Moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
Na mwili wangu huu ni hekalu wako roho
Moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
Na mwili wangu mimi ni hekalu wako roho
Umeniumba mimi nikurudishie utukufu
Umeniumba mimi nikurudishie utukufu
Moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
Na mwili wangu huu ni hekalu wako roho
Moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
Na mwili wangu mimi ni hekalu wako roho
Umeniumba mimi nikurudishie utukufu
Umeniumba mimi nikurudishie utukufu
Ninasema ndio ninakupa uzima wangu bwana
Roho, akili na mwili wangu nakutolea bwana
Nasema ndio ninakupa uzima wangu bwana
Roho, akili na mwili wangu nakutolea bwana
Nakutolea bwana

Ninasema ndio ninakupa uzima wangu bwana
Roho, akili na mwili wangu nakutolea bwana
Nasema ndio ninakupa uzima wangu bwana
Roho, akili na mwili wangu nakutolea bwana

Ninasema ndio ninakupa uzima wangu bwana
Roho, akili na mwili wangu nakutolea bwana
Nasema ndio ninakupa uzima wangu bwana
Roho, akili na mwili wangu nakutolea bwana

Oohoo
Nasema ndiooo
Ndio
Bwanaaa
Alleluya niko tayari bwana
Niko tayaaari kumwabudu
Maana wewe
Maana wewe wastahili

Nasema ndiooo
Bwanaaa
Niko tayari bwana
Niko tayaaari kumwabudu
Maana wewe
Maana wewe wastahili

Nasema ndiooo
Bwanaaa
Niko tayari bwana
Niko tayaaari kumwabudu
Maana wewe
Maana wewe wastahili

Niongoze ewe roho
Niongoze ewe roho mahali pale pa takatifu
Nimwabudu huyu yesu nishujudu mbele zake
Kwa moyo wangu nimwabudu yesuuu

Niongoze ewe roho mahali pale pa takatifu
Nimwabudu huyu yesu nishujudu mbele zake
Kwa moyo wangu nimwabudu yesuuu

Nasema ndiooo
Bwanaaa
Niko tayari bwana
Niko tayaaari kumwabudu
Maana wewe
Maana wewe wastahili

Comment below with your feedback and thoughts on this post.