Gospel Music Fenny Kerubo – Nyamaza Ft. Rose Muhando (Mp3 + Lyrics)

Fenny Kerubo – Nyamaza Ft. Rose Muhando (Mp3 + Lyrics)

Download Nyamaza Mp3 by Fenny Kerubo & Rose Muhando

The Kenyan prolific gospel singer and amazing songwriter “Fenny Kerubo & Rose Muhando” churn out this new song as they both call this one “NYAMAZA”. The audio was released alongside its visuals which would be available for streaming below.

DOWNLOAD HERE

Lyrics of Nyamaza by Fenny Kerubo

Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Takolera takolera kira
Takolera takolera kira

Kira kira, kira kira
Kira kira, kira kira
Vuta machozi tabasamu

Jipe moyo, jipe moyo
Jipe moyo, jipe moyo

Usilie, usilie, usilie
Vuta machozi tabasamu

Atakolera takolera kira
Atakolera takolera kira
Kira kira, kira kira
Kira kira, kira kira

Usilie, usilie, usilie

Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Takolera takolera kira
Takolera takolera kira

Vuta machozi tabasamu

Jipe moyo, jipe moyo..


Yesu yupo kwa ajili yako
Mbingu zipo kwa ajili yako
Mungu yupo kwa ajili yako
Alisema imekwisha imekwisha

Alisema kilio hakuna tena
Ona machozi hakuna tena
Bado tumaini lipo
Bado amani yako ipo
Bado amani yako ipo
Bado uzima nawe ungalipo

Usilie, usilie, usilie
Usilie, usilie, usilie

Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Takolera takolera kira
Takolera takolera kira

Kira kira, kira kira
Kira kira, kira kira
Vuta machozi
Vuta machozi tabasamu

Jipe moyo, jipe moyo
Jipe moyo, jipe moyo

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here