Download Malengo Mp3 by Godfrey Steven
The Gospel Music Minister, Songwriter, Recording and performing artist from Tanzania Godfrey Steven presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Malengo“. This track, released in 2023 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Malengo” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More GODFREY STEVEN Songs Here
Lyrics: Malengo Mp3 by Godfrey Steven
ย Nipe kujua Malengo Nipe kujua Malengo Nipe kujua Malengo ya Huduma yangu Malengo
Timiza Nami Malengo Timiza Nami Malengo Timiza Nami Malengo ya Huduma yangu
Malengo
Ukiniuliza ni nani aliye kuumba Haukuumbwa Baba ulikuwepo Baba
Basi nimejua wewe ndo uliyeumba Malengo ya kweli nipe kujua Malengo nipe kujua
Nisiende kwa njia ya mwili itamanishayo nipe kwenenda kiroho nikupendeze wewe
Ooh calm moyo Tulia na yeye tu atakupa njia Sahihi utafanikiwa ooh calm down moyo
mkabidhi yeye akutawale utajua Yako Malengo utafanikiwa.
( Chorus )
Nipe kujua Malengo nipe kujua Malengo nipe kujua Malengo ya Huduma yangu Malengo
Timiza Nami Malengo Timiza Nami Malengo Timiza Nami Malengo ya Huduma yangu
Malengo
Naliona waliovuma kwa kasi Yani vuuup!
Lakini wakaja zima kwa Ghafla yaan vaaap!
Najiuliza je walienda bila wewe au laaa
Au kisado chao Cha maombi kilikua chini
Najiuliza walikuomba au laaa
Walitumia akili zao za ndani thus why wako hapa
Naogopa kuja kutereza zima vaaap!
Naomba baba nipe kujua Malengo
Nipe kujua Malengo nipe kujua Malengo nipe kujua Malengo ya Huduma yangu Malengo
Timiza Nami Malengo Timiza Nami Malengo Timiza Nami Malengo ya Huduma yangu
Malengo