Gospel Global Guardian Angel – Moyo Wangu

Guardian Angel – Moyo Wangu

Download Moyo Wangu Mp3 by  & Dj Kezz Kenya

The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives “” birth out a song of praise worship which he titles “Moyo Wangu“ performed with Dj Kezz Kenya.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE GUARDIAN ANGEL SONGS HERE

Lyrics: Moyo Wangu by 

Kwako unipae uzima,
Nakupa moyo wangu mzima,
Umeniwezesha kushinda,
Niliyogopa yangenishinda
Kwako unipae uzima,
Nakupa moyo wangu mzima,
Umeniwezesha kushinda,
Niliyogopa yangenishinda
Kwako unipae uzima,
Nakupa moyo wangu mzima,
Umeniwezesha kushinda,
Niliyogopa yangenishinda

Majanga tumeshinda,
Magonjwa tumeshinda,
Mitego ya ma adui,
Yote tumeshinda,
Mawimbi na dhoruba eh bwana tumeshinda,
Na tuliogopa yangetushinda
Milima na mabonde, eh bwana tumepita,
Yalo tutetemesha bwana umetuliza,
Yalo tuogopesha umeondoa mashaka,
Na tuliogopa yangetushinda
Kwako unipae uzima,
Nakupa moyo wangu mzima,
Umeniwezesha kushinda,
Niliyogopa yangenishinda
Kwako unipae uzima,
Nakupa moyo wangu mzima,
Umeniwezesha kushinda,
Niliyogopa yangenishinda

Sasa nakupa shukrani zangu nakupa,
Baba pokea sadaka yangu ya sifa,
Bwana nakupa moyo wangu nakupa,
Nakupa moyo wangu mzima
Sasa nakupa shukrani zangu nakupa,
Baba pokea sadaka zangu za sifa eh,
Bwana pokea moyo wangu nakupa,
Nakupa moyo wangu mzima

,
Kwako unipae uzima,
(kwako eh bwana) nakupa moyo wangu
Mzima, umeniwezesha kushinda, (hei)
Niliyogopa yangenishinda
(Eh kwako eh bwana),
Kwako unipae uzima, (nakupa)
Nakupa moyo wangu mzima,
(mmh ye heh) Umeniwezesha kushinda,
Niliyogopa yangenishinda

Comment below with your feedback and thoughts on this post.