Music Video & Lyrics Harmonize – Sherehe

Harmonize – Sherehe

Download Sherehe Mp3 by

The sensational Tanzanian Bongo Flava recording artist, and entrepreneur presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Sherehe“. This track, released in 2024 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Sherehe” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.

Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More HARMONIZE Songs Here

Lyrics: Sherehe by

Konde Boy call me “number one”
Bakhresa!

Ukiwa mvivu
Ni rahisi sana kuwa na wivu
Tulio jituma tuka archive
Usitushangae Tukila mbivu

Uliwaza mapenzi
Tukawaza pesa
Mh, ona yanavyo kutesa
Sie kwetu sherehe
Oya leo sherehe

We don’t really mind hata tukikesha
Liwake hata ikiyesha
Leo siku ya sherehe
Leo siku ya sherehe
Wanangu hukuu
Kuna Sherehe
Hukuuu tuna sherehe
Huku ooh ni sherehe
Leo huku kuna sherehe
Hukuuu tuna sherehe
Huku ooh ni sherehe

Kuonga kubaya ukiwa huna
Ila tulio jipata kwetu suna
We jigambe Unamkuna
Huku walio na meno wanatafuna

Mwenye kisu kikali kala nyama leo
Kidali kaachwa na jimama leo
Kwetu kuna sherehee
Oya leo sherehee ooh

Mpaka kesho tumeanza leo
Wasio toka wametoka leo
Wameifata sherehe
Oya kwetu kuna sherehe

Uliwaza mapenzi
Tukawaza pesa
Mh, ona yanavyo kutesa
Sie kwetu sherehe
Oya leo sherehe

We don’t really mind hata tukikesha
Liwake hata ikiyesha
Leo siku ya sherehe
Leo siku ya sherehe
Wanangu hukuu
Kuna Sherehe
Hukuuu tuna sherehe
Huku ooh ni sherehe
Leo huku kuna sherehe
Hukuuu tuna sherehe
Huku ooh ni sherehe

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here