Download Asante Yesu Mp3 by Ibrahim Martin
The passionate gospel musician from East Africa, Tanzania, Ibrahim Martin, comes through with a song called “Asante Yesu“, and was released in 2024. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Asante Yesu” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Asante Yesu” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More IBRAHIM MARTIN Songs Here
Lyrics: Asante Yesu by Ibrahim Martin
Uuwouuu ee Yesu
Oouwooh
Kwa uliyonitenda Bwana
Ni mengi siwezi kuhesabu
Kwa uliyonitenda Bwana
Ni mengi mno
Siwezi kuhesabu
Fadhili zake naona
Baraka zake naona
Umenisitiri
Umenisitiri
Wema wako(uuu uuu uu)
Maishani mwangu
Umezidi (uuu uuu uu) kipimo
Wema wako maishani mwangu
Umezidi kipimo Bwana Asante
Bwana asante, Asante
Ee Yesu, Ee Yesu
Baba Asante ,Asante
Ee Yesu, ee Yesu
Asante Yesu
Asante, wewe ni mwema kwangu
Umenitendea jambo hili
Na lile na bado unatenda
Uaminifu wako
Ni wa ajabu
Ni wa ajabu
Ukiahidi lazima utatimiza
Ahadi zako zote ni kweli ii
Wema wako(uuu uuu uu)
Maishani mwangu uu
Umezidi (uuu uuu uu) kipimo oo
Wema wako maishani mwangu
Umezidi kipimo asante Yesu
Bwana asante (Ooh ouo ouoo)
Asante( Asante Bwana)
Ee Yesu( Ee Yesu)
Ee Yesu (Asante kwa fadhili zako)
Baba Asante ( Asante Kwa wema)
Asante ( mwaminifu uu)
Ee Yesu (ee Yesu)
ee Yesu( mi sikutarajia)
Asante Yesu ( huu ,umenipendelea)
Asante, wewe ni mwema kwangu
(Asante Yesu)
Asante Yesu
(Asante Yesu)
Asante, wewe ni mwema kwangu
(Wewe ni mwema)
Asante Yesu
(Wewe ni mwema)
Asante, wewe ni mwema kwangu
Bwana ni mwema
Ni mwema
Ni mwema
Mwema kwangu