Download Ameinuliwa Mp3 by Imani Eric Shoo
A soul-lifting song from the African Christian/Gospel worshipper, minister, and song writer โImani Eric Shooโ, as He calls this song โAmeinuliwaโ. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed
DOWNLOAD MORE IMANI ERIC SHOO SONGS HERE
Lyrics: Ameinuliwa by Imani Eric Shoo
Mito yatiririka mahali hapa,
Jina la Bwana Yesu linatukuzwa,
Ameinuliwa,
Juu ya milima mbingu na dunia,
Ni mali ya Bwana.
Uinuliwe,
Uinuliwe, juu ya miungu,
Juu ya wafalme,
Juu ya vizazi vyote Jehova
Uinuliwe.
Uabudiwe,
Uabudiwe, juu ya miungu,
Juu ya wafalme, juu ya vizazi vyote Jehova,
Uabudiwe.
Uheshimiwe,
Uheshimiwe, juu ya miungu,
Juu ya wafalme, juu ya vizazi vyote Jehova,
Uheshimiwe.