Universal Gospel Jay Melody – Turudiane

Jay Melody – Turudiane

Download Turudiane Mp3 by

Here’s an amazing song and music lyrics from the Tanzanian Bongo Flava singer and songwriter, ““. It’s a song titled “Turudiane“, and was released in 2025. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.

Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More JAY MELODY Songs Here

Lyrics: Turudiane by

Onaa naaa nana nanaaaah
Anaitwaje uyo jay
Jay once again

Nilikukosea naomba unisamehe
Nishajionea kwamba sina lolote
Bila wewe siwezi endelea
Naomba tuendelee
Yalikua matamu mapenzi yetu
Yalikua super aaah

Ex dua gani uliyoisoma ah
Kama ndo chamoto nimekiona
Aku siwezi
Kujifanya niko sawa kumbe inachoma
Inaumiza
Nimeshindwa kukaza
mwanzako natakaa

Turudiane
Mwenzio nataka
Turudiane
Mwenzako nataka aah
Turudiane
Mwenzio nataka
Turudiane
Once again

Verse 2
Saa sita saa saba usiku
Nitakupigia nna kitu
Nawe pokea japo tu
Nikuongeleshe kakitu
Huku nje kila mtu wa mtu
Nishakua single masiku
Basi nielewe kiduchu
Tumalize hili beaf

Ex dua gani uliyoisoma ah
Kama ndo chamoto nimekiona
Aku siwezi
Kujifanya niko sawa kumbe inachoma
Inaumiza
Nimeshindwa kukaza
mwanzako natakaa

Nimeshindwa
Ku move on
Nimeshindwa
Ku move on
Hata siwezi
Ku move on
Wanawezaje
Ku move on

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here