Download Umekuwa Nami Mp3 by Jeremy Jeradi
Here’s an amazing song and music lyrics from the talented Gospel gospel minister, gospel singer, producer, preacher, “Jeremy Jeradi“. It’s a song titled “Umekuwa Nami“, and was released in 2024. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija
Download More JEREMY JERADI Songs Here
Lyrics: Umekuwa Nami by Jeremy Jeradi
Hapa Nilipo Jinsi Nilivyo Niwewe Ume niwezesha ร2
Hatakatika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee .
Hapa Nilipo Jinsi Nilivyo Niwewe umeniwezesha ร 2
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi
Umekuwa nami ร 2 Katika jangwaaa
CHORUS :
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami ,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami ร 4
Huku Ruhusu Nifie Misri Uliniokoa na Farao , Hata Katika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee ,
Huku Ruhusu Nifie Misri Uliniokoa na Farao
Hata Katika umaskini na Magonjwa , huku ruhusu ni teketee ,
Huku Ruhusu Nifie Ushago Uliniokoa Na Farao , Hata Katika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee. [ Katika jangwaa ]
CHORUS :
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami ,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami ร 4
*UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMIโฆ
[ Instrumentalists )
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMIโฆ
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami , zilipo Vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami ร2
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMIโฆ
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMIโฆ
Audience
Umekuwa Nami , umekuwa Nami
Umekuwa Nami , umekuwa Nami
Umekuwa Nami , umekuwa Nami
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami , zilipo Vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Namiโฆ
UMEKUWA NAMI ! UMEKUWA NAMI !
Celebrationโฆ..