Top Christian Songs Kambua – Njoo

Kambua – Njoo

Kambua Njoo

Download Njoo Mp3 by

The well-known award-winning singer who is known for hits like โ€˜Usiku na Mchana’, โ€˜Roho Yangu’, โ€˜Anatimiza’, โ€˜Umetenda Mema’ and โ€˜Bado Nasimama’ from Africa “Kambua” is here with a prolific song titled “Njoo“.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Njoo by

Nyimbo nyingi nimeimba
lakini hamkusikia, nitaziimba tena.
Kwa mtandao nimeandika
Lakini hamkusoma, nitaandika tena.
Kwa basi mmehubiriwa
Kwa soko mmehubiriwa, mtatuona tena.
Tuliambiwa ni kelele
Tunakatiza sherehe, mtatuona tena aah.

Ooo-ooh I won’t get tired
Till you catch the fire of the Holy ghost.
Ooo-oo-oh I will not give up
Till You know this Jesus become a disciple.

Njoo oh ooh anakuita tena tena
Njoo ooh ooh ooh anakuita tena tena tena
Tena tena, tena.

Ni yeye alikubariki alafu ukamsahau, anakuita tena.
Kitambo ulimpenda alafu ukapotea, anakuita tena.
Ingawa uliteleza alafu ukaanguka, atakuinua tena.
Ingawa ulisahau aliyekuinua, atakuinua tena.

Ooo-ooh I won’t get tired
Till you catch the fire of the Holy ghost.
Ooo-oo-oh I will not give up
Till You know this Jesus become a disciple.

Njoo oh ooh anakuita tena tena
Njoo ooh ooh ooh anakuita tena tena tena
Njoo ooh ooh Tena tena, tena.

Comment below with your feedback and thoughts on this post.