Universal Gospel Kathy Praise – Mungu Wa Ishara

Kathy Praise – Mungu Wa Ishara

Download Mungu Wa Ishara Mp3 by

Here’s an amazing song and music lyrics from the talented and prolific Kenyan gospel artiste, ““. It’s a song titled “Mungu Wa Ishara“, and was released in 2020. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.

Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More KATHY PRAISE Songs Here

Lyrics: Mungu Wa Ishara by

Moyo wangu ukuinueโ€ฆ Mungu wa Ishara
Dhabihu yangu uipokee.. Mungu wa Ishara
Umetenda mambo makuu โ€ฆ. Mungu wa Ishara
Hakika wewe ni Munguโ€ฆ

Kama Ulivyo tenda hapo mwanzo tenda tenaโ€ฆ
Mungu mwenye nguvu haushindwi kamwe tunakutazamiaโ€ฆ
Ulifufua wafu, nakuponya magonjwa..vipofu wakapata kuonaโ€ฆ
yote ukiyatenda kwa utukufu wako Yesu twakuabuduโ€ฆ
Ulifufua wafu, nakuponya magonjwa..vipofu wakapata kuonaโ€ฆ
yote ukiyatenda kwa utukufu wako Yesu twakuabuduโ€ฆ

Mungu wa Ishara โ€ฆ Mungu wa Miujiza Tunakuabudu..
Mungu wa Ishara โ€ฆ Mungu wa Miujiza Tunakuabuduโ€ฆ
Mungu wa Ishara โ€ฆ Mungu wa Miujiza Tunakuabuduโ€ฆ.
Mungu wa Ishara โ€ฆ Mungu wa Miujiza Tunakuabuduโ€ฆ

Wewe ni Mungu muweza yote Usiyeshinwaโ€ฆ
Ishara zako Twaona โ€ฆ Nguvu zako Twaona Yahwehโ€ฆ

Kama Ulivyo Ahidi Tendaโ€ฆ. OOOOhh Tenda tena Baba
Tasa uwape watoto Tenda โ€ฆOOOOhh Tenda tena Baba
Waliofungwa.. kukataliwa Jehova Tendaโ€ฆ.OOOOhh Tenda tena Baba
Waliyofungwa kukataliwa Jehova Tendaโ€ฆOOOOhh Tenda tena Baba
Waliyolaaniwa vunja laana tenda Muujiza tukuoneโ€ฆ

Mungu wa Ishara โ€ฆ Mungu wa Miujiza Tunakuabudu..
Mungu wa Ishara โ€ฆ Mungu wa Miujiza Tunakuabuduโ€ฆ
Mungu wa Ishara โ€ฆ Mungu wa Miujiza Tunakuabuduโ€ฆ.
Mungu wa Ishara โ€ฆ Mungu wa Miujiza Tunakuabuduโ€ฆ

Wewe ni Mungu Usiyeshindwa Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Usiyelala Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Usiyebadilika Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Muweza yote Tunakuabudu

โ€ฆโ€ฆendโ€ฆ..~

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here