Download Bwana Mungu Mp3 by Martha Mwaipaja
Lyrics: Bwana Mungu by Martha Mwaipaja
Bwana Mungu amejaa utukufu
Kiti chake ni uadilifu na vazi lake
Ni haki na upendo taji lake ni rehema
Amejaa neema na baraka
Huwapa moyo waliovunjika
Huwaburudisha waliopondeka mioyo
Ni bwana mwenye Enzi Kuu
You May Also Like: ๐๐ฝ
You May Also Like: ๐๐ฝ