Top Christian Songs Martha Mwaipaja – Nifundishe Kunyamaza

Martha Mwaipaja – Nifundishe Kunyamaza

Martha Mwaipaja Nifundishe Kunyamaza

Download Nifundishe Kunyamaza Mp3 by

Here’s a song by theย Nigerian Christian musicย minister and fast-rising praise worship leader โ€œโ€ whose song has been a blessing to lives. The song is titled โ€œNifundishe Kunyamazaโ€œ.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

https://www.youtube.com/watch?v=jnJgyxkCSmM

Lyrics: Nifundishe Kunyamaza by

Nifundishe kunyamaza (Teach me to keep silent)
Nifundishe kunyamaza (Teach me to keep silent)
Nisijejubu nikakukosea Mungu uh (Lest I respond and sin God oh)

Nifundishe kunyamaza (Teach me to keep silent)
Nifundishe kunyamaza (Teach me to keep silent)
Nisijejubu nikakukosea Mungu uh (Lest I respond and sin God oh)

Wewe baba (You are father)
Wewe ni mwalimu mwema (You are a good teacher)
Wewe Mungu (You are god)
Wewe ni mwalimu mwema (You are a good teacher)

Niko darasani kwako Masiah (I’m in your classroom messiah)
Baba naomba (Father I pray)
Nifundishe kunyamaza (Teach me to keep silent)

Niko katika kipindi hiki bwana (I’m in this period lord)
Naomba nifundishe kunyamaza (I pray teach me to keep silent)

Nanatamani kunyamaza ah (I desire to be silent ah)
Lakini si rahisi (But it’s not easy)
Nifundishe kunyamaza (Teach me to keep silent)

Natamani kunyamaza Masiah (I desire to keep silent messiah)
Naomba nifundishe kunyamaza (I pray teach me to keep silent)

Yapo mengi mambo (There are many things)
Yanayoweza fanya niseme (That can make me to speak up)
Yapo mazingira yanayoweza (There are situations that can)
Fanya nijibu nikakosea (Make me respond and sin)

Kwa maisha tunayoishi (In the life we live)
Naomba nifundishe kunyamaza (I pray teach me to keep silent)
Kwa ninayoyaskia kila siku (For what I hear every day)
Bwana nifundishe kunyamaza (Lord teach me to keep silent)

Kwa ninayoyaona kila siku (For what I hear every day)
Ee baba nifundishe kunyamaza (Oh father teach me to keep silent)

Wapo wanaoweza fanya (There are those who can make)
Nipambane, nipambane (I compete, I compete)
Yapo yanayoweza fanya (There are things that can make)
Nishindane, nishindane (I hit back, I hit back)

Bila neema ya kunyamaza (Without the grace of silence)
Naweza jikuta ninajibu vibaya (I can find that I’m responding badly)
Bila neema ya kunyamaza (Without the grace of silence)
Naweza jikuta ninasema vibaya (I can find that I’m answering badly)

Wee Yesu wewe (Oh Jesus you)
Naomba nifundishe kunyamaza (I pray teach me to keep silent)
Wee baba wewe (Oh father you)
Naomba nifundishe kunyamaza (I pray teach me to keep silent)

Kwa macho nimeona mengi (With my eyes I’ve seen a lot)
Naomba nifundishe kunyamaza (I pray teach me to keep silent)
Kwa vinywa nimenenewa mengi (By mouth I’ve been told a lot)
Naomba nifundishe kunyamaza (I pray teach me to keep silent)

Kwa maskio nimesikia mengi (With my ears I’ve heard a lot)
Bwana nifundishe kunyamaza (Lord teach me to keep silent)

Nifundishe kunyamaza (Teach me to keep silent)
Nifundishe kunyamaza (Teach me to keep silent)
Nisijejubu nikakukosea Mungu uh (Lest I respond and sin God oh)

Nifundishe kunyamaza (Teach me to keep silent)
Nifundishe kunyamaza (Teach me to keep silent)
Nisijejubu nikakukosea Mungu uh (Lest I respond and sin God oh)

E-e-e baba nisaidie baba (Oh father help me father)
E-e-e Mungu nisaidie Mungu (Oh god help me God)

Ninatamani sana nijilinde (I desire to guard myself)
Nisije kukukosea (Lest I sin against you)
Ninachotaka nijilinde (What I want is to be on guard)
Nisije kukupoteza (So I won’t lose you)

Watu wanaweza taka nipambane (People may want me to struggle)
Nikukose mwokozi (So I lose you savior)
Wengi wanataka nipambane (Many want me to struggle)
Nikukose mwokozi (So I lose you savior)

Kwa mazingira ninavyoyaona (In the circumstances I meet)
Naweza pambana nikukose (I can compete and lose you)
Kwa mwanadamu kunyamaza (For a human to keep silent)
Ni ujinga ninacholinda nisikukose (It’s foolish but I don’t want to lose you)

Japo nitaonekana ni mpumbavu (Though I’ll be seen like a fool)
Acha vyote vipite nisikukose (I can resist all so I don’t lose you)
Japo yananichoma mpaka (Though it hurts even)
Ndani ya moyo (Inside the heart)
Wacha yapite nisikukose (Let me resist so I won’t lose you)

Naweza pambana na wanadamu (I can compete with people)
Kumbe nikawa ninakupoteza bwana (Then I’ll be losing you)
Naweza pambana na wanadamu (I can compete with people)
Kumbe nikawa nakukosa Masiah (Then I sin to you messiah)

Naweza shindana na watu (I can compete with people)
Kumbe nikawa nakukosa Masiah (Then I sin to you messiah)
Wacha kwa watu niwe mjinga (Let me be stupid to people)
Kwako niinulie (To you I be uplifted)

Wacha kwa watu niwe mpumbavu sana (Let me be very stupid to people)
Kwako niwe shujaa (To you I be a hero)
Wacha kwa watu niwe kama mjinga (Let me be stupid to people)
Kwako niwe mwenye hekima (To you I be the wise)

Lakini sitaweza kunyamaza (But I won’t be able to keep quiet)
Ila kunifundisha (Unless you teach me)
Maana kama mwanadamu inaniuma (For to a man it hurts)
Lakini naomba nifundishe (But I pray you teach me)

Maana kama mwanadamu inanitesa (For to a man it tortures)
Lakinini naomba nifundishe kunyamaza (But I pray you teach me to keep silent)
Bila kufundishwa nawe (Without being taught by you)
Naweza nikapambana (I can fight back)

Na katika kupambana kwangu (And in my fight)
Nikajikuta nakukosea (I can find myself sinning)
Nakuomba baba nakuomba (I pray father I pray)
Nisaidie ninyamaze (Help me to keep silent)

Nakuomba baba nakuomba (I pray father I pray)
Nisaidie ninyamaze (Help me to keep silent)
Hata wakiniona ni mjinga (Even if they see me as stupid)
Acha vyote nisikukose (Let me resist so I won’t lose you)

Japo wataniona ni mjinga (Though I’ll be seen like a fool)
Kumbe ninalinda nisikikukosee (So I’m watching lest I sin)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here