Download Atafanya Mp3 by Mathias Walichupa
The vibrant singer and recording artiste Mathias Walichupa presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Atafanya“. This track, released in 2025 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Atafanya” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More MATHIAS WALICHUPA Songs Here
Lyrics: Atafanya by Mathias Walichupa
You better save my number
You better save my number
You better save my number
Kuna jambo Mungu atafanya
I say
Time will tell
Kuna jambo Mungu utafanya
Mungu utafanya
I say
Time will tell
Kuna jambo Mungu utafanya
Mungu utafanya
Nitauchukua muda
Magotini pako
Atakama sijaona bado
Atakama sijaona bado
Uwe Alfa wa mwanzo wangu
Na uwe Omega wa mwisho wangu
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
BWANA atafanya
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
BWANA atafanya
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Save my number
You better save my number
Save my number
Kuna jambo Mungu atafanya
Nitasubiria
Majibu yangu
Atakama yamechelewa
Ouyee yeyeee
Nitangojea
Mahali hapa
Mchana na Usiku
Ouyee yeyeee
Najua hauwezi
Mwacha mwenye haki
Wako aangamie
Yeye, yeye
Mtu akimgusa
Kagusa mboni ya
Jicho lako We
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
BWANA atafanya
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
BWANA atafanya
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Save my number
You better save my number
Save my number
Kuna jambo Mungu atafanya