Universal Gospel Mathias Walichupa – Nitashinda

Mathias Walichupa – Nitashinda

Download Nitashinda Mp3 Audio by

The widely recognized gospel artist presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Nitashinda“. This track, released in 2024 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Nitashinda” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.

Artist Name:
Mp3 Song Title:Nitashinda
Year of release:2024

Get the MP3 audio for free, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More Mathias Walichupa Songs Here

Song Lyrics: Nitashinda by Mathias Walichupa

Hu ndio utambulisho wangu
Kwamba mi ni mzawa wa kifalme
Alinijua
Tangu mawazoni mwake eeh
Alishanichagua niwe
Wa upande wake eeh
Ugumu wa changamoto
Zinazo nikabili
Hautoshi kubadili mawazo
Mungu anayoniwazia
Nina imani upo wakati
Ambao mema
Uliyopanga yatatimia
Maana
Sijaandikiwa kushindwa aah
Nimeandikiwa kushinda Aah
MUNGU yuko upande wangu uuh
Nitashinda zaidi ya kushinda
Nina imani nitashinda (Aah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
Najua uko upande wangu
Naamini (Aah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
YESU uko upande wangu naamini
Naamini Naamini Iyeiyeee
Kwako nitangoja (Neno lako)
Kwako nitangoja (Sauti yako)
Kwako nitangoja kibali chako
Bwana unipatie
Nitangoja (Amani yangu)
Nitangoja (Uponyaji wangu)
Uweponi mwako YESU nitakaa
Maana ukiwa upande wangu (Hakuna)
Ni nani aliye juu yangu (Hakuna)
Hakuna (Hakuna)
Iyeiyeeee
Tena ukisema ndio (Hakuna)
Nani Apinge eeh (Hakuna)
Hakuna (Hakuna)
Nitashinda kwa maana
Sijaandikiwa kushindwa aah
Nimeandikiwa kushinda Aah
MUNGU yuko upande wangu uuh
Nitashinda zaidi ya kushinda
Aaah (Aaah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
Najua uko upande wangu
Naamini (Aah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
YESU uko upande wangu
Naamini (Aah)
Iyeiyeee
Maana ukiwa upande wangu (Hakuna)
Ni nani aliye juu yangu (Hakuna)
Hakuna (Hakuna)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here