Download Shule Yako (Nifunze) Mp3 by Mercy Masika
The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives “Mercy Masika” birth out a song of praise worship which she titles “Shule Yako (Nifunze)“.
Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.
Lyrics: Shule Yako (Nifunze) by Mercy Masika
Hook:
Baba nichukue, nifunze
Nataka kusoma, Kwa shule Yako
Kwa shule Yako (X2)
Nikiwa nawe kama mwalimu
Ninajua nitahitimu
Nitashinda adui akileta majaribu
Unitayarishe, unibadilishe
Mtihani nipite, mwito nitimize
Nijue kuandika
Niandike maono yangu
Nijue kuhesabu
Nihesabu baraka zako
Nijue kuongea
Nihubiri neno lako
Kwa watu wako
(Hook)
Shule Yako hatundanganywi
Ni ukweli na uwazi
Wanafunzi hawagomi
Mwalimu atujali
Unifunze nidhamu, Wote niwaheshimu
Yesu ni Mwalimu, Yesu ni Mwalimu’
Nijue kuandika
Niandike maono yangu
Nijue kuhesabu
Nihesabu baraka zako
Nijue kuongea
Nihubiri neno lako
Kwa watu wako
(Hook)