African Gospel Songs Moji Shortbabaa – Utukuke

Moji Shortbabaa – Utukuke

Download Utukuke Mp3 byย Moji Shortbabaa Ft Eunice Njeri

The renowned African Christian music minister, praiser, andย worship leaderย whose songs have blessed lives โ€œMoji Shortbabaaโ€ birth out a song of praise worship which she titles โ€œUtukukeโ€œ featuring Eunice Njeri.

Get Audio Mp3, stream, share and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Utukuke byย Moji Shortbabaa

Mmhhmm
Ni shorti babaa na Eunice Njeri
Niwe milimani,ama mabondeni
Utukuke utukuke
Niwe milimani , ama mabondeni
Utukuke Utukuke
Utukukee utukukee
utukuke utukuke ร—2

Mimi nimechaguaa,nachagua kuimba
Nachagua kuiiimbaa aah
Kama Paulo na Sila nitaimba usiku
tenzi za moyo wanguu
Kukuimbia sifa pokea sifa zangu
Jina lako libaki juu,milele wewe ubaki juu
Minyororo imeanguka,korokoro ishafunguka
Minyororo imekatika,korokoro ishafunguka
Niwe milimani ama mabondeni
Utukuke utukuke

Niwe milimani ama mabondeni
Utukuke utukuke
Utukukeee Utukukee
Utukuke utukuke ร—2
Eeh baba eeh baba eeh baba eeh baba eehร—4
Si kwa nguvu wala majeshi aahh
Tukiwa nawe tuko freshi aaah
Bila manguvu wala majeshi aah
Tukiwa nawe yesu si tuko freshi aah ahh
Staki kitu leo aaah
pokea sifa leo.. aah

Si mashida leo aaah
pokea sifa leo..aahh
Leo mi naishi kwa neno lako..aah
Ju niko fiti kwa uwepo wako aahh
Leo mi naishi kwa neno lako aahh
ju niko fiti kwa uwepo wako
Niwe milimani ama mabondeni (mabonde eeh)
Utukuuuke utukuuke
Niwe milimani(milima) ama mabondeni(eeh)

Utukuuke(utukuke) utukuuke(aah)
Utukukee (yesu)Utukukee
utukuke (utukuke)utukuke (utukuke)
Utukukee(eeh) Utukukee(eeh)
Utukuke (eeh) Utukukeee eehh
Eeh baba eeh baba eeh baba eeh baba eeh ร—4
Na niwe milimani ama mabondeni
Utukuuke Utukuuke
Niwe milimani ama mabondeni
Utukuuke utukuuuke.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here