Top Christian Songs Moji Shortbabaa – Wacha Kunicheki

Moji Shortbabaa – Wacha Kunicheki

Moji Shortbabaa Wacha Kunicheki

Download Wacha Kunicheki Mp3 by

The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives โ€œMoji Shortbabaaโ€ birth out a song of praise worship which he titles โ€œWacha Kunichekiโ€œ.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Download More MOJI SHORTBABAA Songs Here

Lyrics: Wacha Kunicheki by

Saint P Eh
Shortii babaa Saint P on the beat
Wacha kikunicheki cheki cheki Cheki wacha kunicheki
Wacha kikunicheki cheki cheki Cheki wacha kunicheki

Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako

Ukihesabu kile amedu, kile amedu
Huwezi tulia
Ukihesabu kile amedu, kile anmedu
Huwezi tulia
Amekuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (si wewe ulimwambia)
Amekuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (Si wewe ulimwambia)

Sifa zikipanda baraka zinashuka
Hii ni ukweli si misemo ya shuka
Sifa zikipanda baraka zinashuka
Pandisha mzuka lipuka ka bazooka
So turn to your neighbour Kama hashukuru,
get another neighbour
So turn to your neighbour Kama hashukuru,
get another neighbour

Wacha kikunicheki cheki cheki Cheki
wacha kunicheki
Wacha kikunicheki cheki cheki Cheki
wacha kunicheki
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako

Excuse me, me nataka kudance Ju amenipa chance
Excuse me, ati hutaki kudance? Na amekupa chance?
Sifa zikiaanza am the Hot stepper
Na leta shukurani am that one Lepper
eeeh mi natisha Ketepa, Shukuru pia Jamaa wacha temper
si lazima signal , si lazima signal
Toa Jasho, Toa Thigino
si lazima signal , si lazima signal
ata kama shida bigi bro

So turn to your neighbour Kama hashukuru,
get another neighbour
So turn to your neighbour Kama hashukuru,
get another neighbour
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako

Amekuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (si wewe ulimwambia)
Amekuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (Si wewe ulimwambia)
Amekuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (si wewe ulimwambia)
Alikuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (Si wewe ulimwambia)

Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu Wako

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here