Gospel Global Msanii Music Group – Peke Yangu Sitaweza

Msanii Music Group – Peke Yangu Sitaweza

Download Peke Yangu Sitaweza Mp3 by

The renowned Global Christian music team of praisers and worshippers whose songs have blessed lives “” birth out a song of praise worship which they title “Peke Yangu Sitaweza“. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE MSANII MUSIC GROUP SONGS HERE

Lyrics: Peke Yangu Sitaweza by

Peke yangu sitaweza safari ndefu ya shida
Peke yangu sitaweza kufika yerusalemi

Unipe nguvu za kushinda, majaribu ya dunia
Safari njema na bwana, naoda wa roho yangu
Shetani yu kano yangu, kaniweka ataribi
Moyo wangu na fungua, yesu uwe ndani yangu
Naoda wa roho yangu, naoda wa roho yangu

Wengi wanafikiriya dunia hii na furaha
Hatima ye wanajuja mkono ni mwa shetani

Comment below with your feedback and thoughts on this post.