Download Kamnyweso Mp3 by Natacha Burundi
The renowned Burundian singer Natacha Burundi, comes through with a song called “Kamnyweso“, and was released in 2025. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Kamnyweso” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Kamnyweso” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More NATACHA BURUNDI Songs Here
Lyrics: Kamnyweso by Natacha Burundi
Lalala lala Lalala lala
Oooh Eeeh Mmmh
Nikikosa hii kitu najiona niko duru
Nikiikosa najiona niko zoba
Nikikosa hii kitu najiona kama sio mimi
( Sio mimi )
Ah Ah Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Mama Kamnyweso ( Kamnyweso )
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso)
Ah nikilewa zinashuka
Mh yanipanda mizuka
Waiter hebu muite chief cooker
Mana kunywa bila kula ntaumbuka
Wengine wanaita inzoga
Wengine wanaita mtungi
Mtungi uwo mtungi uwo
( Mtungi uwo mtungi uwo )
Unanipa vibe mtungi uwo
( Mtungi uwo mtungi uwo )
Haiyaa mtungi uweo mtungi uwo
( Mtungi uwo mtungi uwo )
Unaniondoa aibu mtungi uwo
( Mtungi uwo mtungi uwo )
Ah Ah Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Mama Kamnyweso ( Kamnyweso )
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso)