Gospel Music Foreign and International Gospel Songs Natasha Lisimo – Ninataka Kuingia

Natasha Lisimo – Ninataka Kuingia

Download Ninataka Kuingia Mp3 by

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Ninataka Kuingia by

Ninatakaโ€ฆ
Ninataka kuingia
Mjini mwa Mungu
Nitashinda
Nitakaza mwendo nifike
Nikishikwa na shida
Nikichoka njiani
Yesu unaniambia uningojee

Naitwa na Yesu Kristo
Enzini mwake (hmmm)
Nakimbia kukawia hakuna faida
Babaa
Wote wachelewao
Hawatapata taji
Mimi sitaki kingine
Ila uzima

Hmmm Nataka niingie Bwana
Mmh Bwana Yesu, Hmmmm

Elekeza macho Yangu
Langoni pako, hmm
Nipe nguvu niongoze ninapochoka
Yesu! Ninapojaribiwa
Ninaposingiziwa
Hoo Yesu Unisaidie
Nisikuaachee
Mkono wako unishike
Nisianguke
Najiona kuwa mnyonge
Nguvu i kwako
Babaa!

Neno Lako eh Yesu
Linanipa uzima
Eeh nikifika nitaimba unmeniponya

Comment below with your feedback and thoughts on this post.