Download Hatutaogopa Mp3 byย Neema Gospel Choirย
The Kenyan Music team,ย Christian Singers, members of Africa Inland Church (AICT) whose songs have always been a blessing โNeema Gospel Choirโ comes through with a song titledย โHatutaogopaโ.
Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.
Lyrics: Hatutaogopa byย Neema Gospel Choir
lbadilike hii nchi yote,
Itetemeke milima yote.
Mungu kwetu ni kimbilio
Hatutaogopa,
You May Also Like: ๐๐ฝ
Hatutaogopa,
Mungu kwetu ni kimbilio ,
Hatutaogopa.
Mateso yaje
maji yavume,
Wafalme wote
waghadhabike.
Mungu kwetu ni ngome yetu
Hatutemeshwi.
Hatutetemeshwi,
Mungu kwetu ni ngome yetu,
Hatutetemeshwi.
Hatutaogopa,
Mungu kwetu ni kimbilio ,
Hatutaogopa.
You May Also Like: ๐๐ฝ